Unanishangaa mimi tena? Bishanga sio bure ni Limbwata la BADILI TABIA ndio linaongea na si wewe ninayekujua lolNamshangaa....
Unanishangaa mimi tena? Bishanga sio bure ni Limbwata la BADILI TABIA ndio linaongea na si wewe ninayekujua lol
Hahahaaaa nautandika aiseee maana ndio unanipa stim za kutoshamydear,ni erick tu anapiga msuba,sisi wengine ni safi kabisa.
Hahahaaaa hakuna kitu kama hichoBishanga ni mzee wa kanisa bana.
Atakula za uso haadi akome we mwacheUkisikia mtu anadai ban kwa nguvu ndo style hii sasa,subiri utakiona cha moto.
Umefuraaaaaaaaaaaahi,,,,,,,--ungejua unachorwa!