Kipima joto cha leo.....

1.Eti bishanga ni tajiri kuliko balesa? N (Kwa sababu una mashine 10 za kusaga unga wa mtama)
2.Eti Asprin ujanja wa bure tu kumbe jogoo halipandi - S
3.Eti kumbe Kongosho katika maisha halisi ni Mwigulu Nchemba - N
4.Eti Zinduna ni mhaya pyua - H...... (amechanganya na damu ya kimakonde)
5.Eti BADILI TABIA ana mabwana kibao jf - N........ ila msiri sana
6.Eti Eiyer naye siku hizi anatoa 'like'? N (ila kwa mademu tu)
7.Eti Madame B bado ameuchuna hadi leo hatoi 'like'? H
8.Eti maMoDs wanaanza mgomo kesho kisa Paw kateguliwa kiuno na Roulette? - N (najua siri ila naogopa selo)
9.Eti Erickb52 na Amyner wameachana,kisa erick hataki kumlipia Amyner u bronze member? N
10.Eti kumbe gfsonwin na Kaizer wanafanya kweli? N (Ulikuwa hujui Kaizer ni shemeji shemeji huku azima taa)

matokeo ya kipima joto yatatolewa kesho muda kama huu.
platozoom uko sahihi....
Mi sijamnyima Amyner chochote na pia mambo yake si ya kushindwa mambo madogo kama hayo
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom