Waliosema siyo ndo walimpigia kura kikwete, hivyo chama cha magamba kilipata 24% katika uchaguzi mkuu ulipita. Tafakari!
ni asilimia 71 mkuu... Na mimi nimeipenda sana,,, kweli wananchi wamejitambua,... Big up tanzanianz,,, mbunge akileta za kuletwa, piga,,, akafie mbali,,, sisi tunakufa njaa we unajichekesha
Ni matokeo yenye nuru nzuri hapo baadaye !
Kipima Joto Cha leo swali lilikuwa ni, 'Je! Kitendo cha wananchi kumpiga mawe mbunge wao mawe ni suluhisho la matatizo yao'? Asilimia sabini na sita (76%) ya waliohojiwa walisema 'NDIYO'!!!
Waliohojiwa walisemaje?