Kipima joto cha itv cha toa mwelekeo

Hatimaye wananchi wamewaumbuwa wale waliotaka kuwaaminisha kuwa ahadi ya kutoa Elimu na Afya Bure kuwa Haiwezekani..!!
Waliosema inawezekena ni Asilimia 81%. Hila za CCM kwisha kabisa....!
2010 HATUDANGANYIKI...!

Mkuu watakwambia hao waliopiga kura kwenye kipimajoto si wapiga kura wa Oktoba 31. Hivyo hayo hayawahusu...soon tutegemee kusikia majibu toka kwa Dr. Kinana na Dr. Chegeni, sorry nilimshahau Dr. Makamba nae atajibu hoja hii
 
Sasa kikwete na sitta wanaopinga kuwa haiwezekani, waone aibu kwani wamezoea kufisadi hata kilicho kidogo hadi waingize mkono.

Hatudanganyiki 2010, labda wapumbavu
 
Hatimaye wananchi wamewaumbuwa wale waliotaka kuwaaminisha kuwa ahadi ya kutoa Elimu na Afya Bure kuwa Haiwezekani..!!
Waliosema inawezekena ni Asilimia 81%. Hila za CCM kwisha kabisa....!
2010 HATUDANGANYIKI...!

tofauti ya kura hizo na hizi tunazopiga JF ni nini...?
 
kinachonifurahisha hiki kipindi kilianzishwa kwa matumaini kuwa wengi hasa wa kupangwa wangesema haiwezekani lakini wameumbuka, wameumbuka kwa kumkimbiza mgombea wao asishiriki mdahalo, wabunge walianza kushiriki mdahalo, walipoona upepo haupo kwao wakawakimbiza pia, tutaona mengi mwaka huu, mikutano yao ni mziki wa kizazi kipya na wasanii mbalimbali, kama hiyo haitoshi wanahonga kofia fulana kanga na kutoa usafiri ili watu waujaze mkutano, hiyo ni kujidanganya mchana kweupee, hao hawatakuwepo siku ya hukumu kwani walifuata burudani ya bure, nani asiyependa vya bure???
 
Waliojibu ni watu wa kawaida wasiojua nini wanasema, na pengine ni katika kupenda vya dezo.
 
Waliojibu ni watu wa kawaida wasiojua nini wanasema, na pengine ni katika kupenda vya dezo.

kama imekuuma/imekula kwako pulizia, ni kawaida siku zote ukweli unauma, ni goli limefungwa na refa keshapuliza kipyenga.
 
Binafsi Napinga Elimu ya Bure... huku nikurudisha watu nyuma... the priority now should be improving quality of education... hizi elimu za bure will endup getting nothing.

Napenda wanasiasa wakweli.

"Kila mtu ataubeba mzigo wake mwenye" - C. D. Msuya.
 
Binafsi Napinga Elimu ya Bure... huku nikurudisha watu nyuma... the priority now should be improving quality of education... hizi elimu za bure will endup getting nothing.

"Kila mtu ataubeba mzigo wake mwenye" - C. D. Msuya.

Elimu ya kulipia ukitaka ipo, nenda shule binafsi. toa sababu kwa nini hupendi watu wapate elimu bure??, neno bure ni nelo la mkato, elimu italipiwa na rasilimali/mapato ya serikali toka vyanzo mbalimbali tulivyonavyo ambazo kwa sasa zinanufaisha wachache, fikiria mheshimiwa trip za nje angepunguza kwa 80% hiyo hela ingesomesha wangapi? kwanza serikari haijiendeshi kutokana na ada za wanafunzi,
 
I can only agree with you if you know.

--how many primary, secondary, univisities we have today?
--What is the deficit of primary, secondary, universities
--What is the gap in terms of books, libaries, laboratories
--How much it cost to run a full funished primary, secondary school and university.,
Then Tutaongea.....

Source za hela mnazosema ni ndogo sana, wandugu... ingekuwa busara hela hizo mnazosema ziende kwenye kuhudumia uchumi... sio kutoa huduma... ili under long run tujitegemee...

Katika maisha yangu, I hate mtu/watu ambao ni wazuri kwenye kuzungumzia kutumia hela... I like those people who talk about to create wealth ili watu wasomeshe watoto wao wenyewe....

Mzee wa UDP wa kujaza mapesa na-miss sana... wanasiasa waliobaki sasa hivi akina KIKWETE/LIPUMBA/SLAA wanapenda kuongelea matumizi tu... I hate this politics.

Miaka mitano ya KIKWETE uchumi umeduwaa kwa sababu ya msisitizo kwenye kuwekeza sana kwenye huduma za jamii, kwa uchumi kama wetu tunahitaji kuwekeza sana kwenye huduma za uchumi... ili uchumi uje baadaye uweze kuhudumia social services.
 
I can only agree with you if you know.

--how many primary, secondary, univisities we have today?
--What is the deficit of primary, secondary, universities
--What is the gap in terms of books, libaries, laboratories
--How much it cost to run a full funished primary, secondary school and university.,
Then Tutaongea.....

Source za hela mnazosema ni ndogo sana, wandugu... ingekuwa busara hela hizo mnazosema ziende kwenye kuhudumia uchumi... sio kutoa huduma... ili under long run tujitegemee...

You can make a good research from our neighbors Kenya, they have just made it, if is possible in Kenya why not in Tanzania?? The same or more will apply in Tanzania
 
The difference between negative and positive thinking, if you opt the later you are in the right track, negative thinking leads to no where, remember what you can't do others can do it
 
mkuu kipima jaoto kisikudanaganye kabisaa

hapa mimi ndipo huchoka kabisaa! Poll za internet mnadai hazi-reflect reality kwani watanzania wengi hawatumii internet tena mnakolezea kuwa wengi wa mtandaoni wapo nje ya nchi!
Leo tena kipima joto mnadai sio wapiga kura ! Sasa tanzania nani ni mpiga kura! Hali hii itatokea hadi 31 octoba, makame atakaposema slaa kashinda kwa 56.76% mtasema ah! Hayo sio matokeo, watanzania hawawezi kuchagua vya upinzani!
 
You can make a good research from our neighbors Kenya, they have just made it, if is possible in Kenya why not in Tanzania?? The same or more will apply in Tanzania

Freetown heshima mbele!!!!

Ni aibu na upuuzi kulinganisha uchumi wa Kenya na wa Tanzania.... angalia wenzetu walivyotikishwa na issue ya Kibaki na Raila... lakini uchumi ulisimama imara... angalau uchumi wao ulivyotikiswa na issue ya mafuta na mtikisiko wa uchumi dunianai lakini bado uchumi ukawa imara.

In short... our priority sasa hivi ingekuwa kuhudumia uchumi kwanza usimame ndio tuongelee huduma za jamii kwa wingi...

Sasa angalia bado njia kuu za uchumi ziko duni, bandari, reli, angani, barabara mifumi ya kisheria ya biashara (legal framework).

Lakini wanasiasa wetu kwa sababu wanajua sisi wajinga... wanaahidi sehemu ambazo tutawapigia makofi...

In short i don't agree with any candidates kwenye hili.... matokeo yake hawa wanataka tuwe ombaomba daima milele.... NO to KIKWETE NO to LIPUMBA and NO to SLAA.

my rule of thamb "Economic Services" first then "Social Services"; hao wengine wanaoweza ni kwa sababu ya kutumia hii rule kwanza.

Sera za huduma za jamii bure ni changa la macho kwa Watanzania... it is the only brigde to take opposition to the front seat... thus why they use it, it is not b'se they believe in it.

1. Mtu anakuambia tutauza ndege ya Rais kutoa elimu bure... ndege ya Rais moja ita-handle running cost za wizara ya elimu kwa muda gani?

2. Mtu anasema nchi ina rasilimali nyingi... upuuzi... yaani madini ambayo hayajachimbwa tayari umeweka kwenye bajeti ya matumizi

3. Mtu anasema tutarekebisha mikataba... unajua kwa sheria za kimataifa mikataba iliyoko ni halalili?

Please nyie mnaopenda urais... acheni kutudanganya.,
 
Elimu yetu iko ICU, shule hazina labraries, laboratories, well paid teachers with outdated syllabuses what to you expect from that combination, taxi drivers and bodaboda riders are having a lot of cash than teachers in such away in some places teachers borrowed motor cycles now are bodaboda riders that is Tanzania education:confused2:
 
N-handsome,

Would you use the little you will get from other sources to improve this situation or you will go further and say will provide free education meaning the barden will be even larger!
 
Back
Top Bottom