Kipima baridi.

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,956
4,647
Kiongozi mkubwa, akialikwa kuzindua mradi wa uoteshaji miti
huwa na yeye atapandikiza angalau mti mmoja.
Akialikwa kuzindua bara bara, atatembea angalau hatua mbili tatu.
Akialikwa kuzindua mradi wa kupima kwa hiari VVU,
na yeye pamoja na mkewe huwa wanapima kuhamasisha wananchi.
SWALI. Je,
Atakapoalikwa kuzindua mradi wa Utumiaji wa CONDOMS atafanya nini?
 
anapewa za bure anakwenda nazo nyumbani mbona condom anaweza kuzitumia kwa uzazi wa mpango au we hujui?
 
Anaweza kuzipeleka nyumbani na kugawia watoto wake. Hata sumaye alikuwa akiwahamasisha watoto wake kutumia
 
kiongozi mkubwa, akialikwa kuzindua mradi wa uoteshaji miti
huwa na yeye atapandikiza angalau mti mmoja.
Akialikwa kuzindua bara bara, atatembea angalau hatua mbili tatu.
Akialikwa kuzindua mradi wa kupima kwa hiari vvu,
na yeye pamoja na mkewe huwa wanapima kuhamasisha wananchi.
Swali. Je,
atakapoalikwa kuzindua mradi wa utumiaji wa condoms atafanya nini?
atazitumia
 
atawaelekeza watu jinsi ya kutumia kwa kuivaa kwenye kidole cha mkono.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom