Kipi utakikumbuka toka kwa waziri mkuu mstaafu Mr Mizengo Kayanza Pinda?

Mbishi 4 real

JF-Expert Member
Jan 16, 2014
616
548
Habari zenu wana jamvi

Unadhani ni kitu gani hasa kitakufanya umkumbuke waziri mkuu mstaafu Mr Mizengo Kayanza Pinda.

Karibuni
 
ng'eeeeeeeeeeeeee ng'eeeeeeeeeeeeeess ng'eeeeeeeeeeeeeeeee.

Nitamkumbuka sana kwa hilo.
 
Masuali ya papo kwa hapo bungeni alisema"zanzibar si nchi" kilichofuata..............sisahau
 
Akiwa anajibu maswali ya wabunge ya papo kwa hapo
"mhe. spika naomba tu niseme kwamba jambo hili sisi kama serikali tunalitafutia ufumbuzi wake na nipende tu kumhakikishia mhe mbunge kwamba tayali tupo kwenye mchakato wa kulishughulikia
kikubwa hapa ni kwamba ni kwa namna gani tunahakikisha jambo hili linakwisha kabisa
natambua umuhimu wa jambo hili ndo maana nikasema taratibu za awali kuelekea kwenye ufumbuzi wa kudumu zinafanyika "
Yaani majibu ya kisiasaaaa mpka nachoka kabisa
nitamkumbuka sana pm wangu
 
Du nimecheka sana mpaka basi.yaani kimsingi hajawahi kujibu kitu.ni mchakato mchakato tu.ndiy o maana magufuli alisema kauli za "iko kwenye mchakato " zitaisha
 
Pinda nitamkumbuka kwa sababu kapinda ,unafikiria kutoa kauli ya wapigwe tu ni swala la mtu soft
 
Back
Top Bottom