Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipi ni sahihi kati ya kuoa/ kuolewa au kuoana?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mwanamayu, Oct 11, 2011.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 5,744
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Nilimsikia Lady Hanifa wa Radio One akisisitiza kuwa mume na mke wameoana. Na wengi siku hizi hasa wanawake wanatumia neno ili kuoana badala ya kuoa au kuolewa. Je, ni sahihi kweli kuoana? na kwa nini watu wanatumia neno ili? Nini maana yake kabisa - kuoana?
   
 2. HekimaMoyoni

  HekimaMoyoni Member

  #2
  Oct 11, 2011
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuoana ndio sahihi..
   
Loading...