Kipi ni chuo bora hapa Tanzania?

Chuo bora ni Udom kikifuatiwa na SUA.udsm haifai kuingia ata 5 bora tatizo rank hazifuati vigezo.
 
vigezo gani ambavyo UDOM wanavyo? UDOM si ndio wanaoongoza kwa kuwa na field mbovu au? Maana hata ujuzi wa kazi hawaujui.
 
Chuo bora ni Udom kikifuatiwa na SUA.udsm haifai kuingia ata 5 bora tatizo rank hazifuati vigezo.

acha ukiraza, unataka kuniambia UDOM inastahili kuwa kwenye rank na sio UDSM? Udsm haistahili kukaa kwenye tano bora? Hivi wewe unaakili kweli au? Hebu nenda kapige research na sio kuropoka tu. Udom hamna kitu. Hata mia bora ya vyuo vya afrika sidhani kama ipo.
 
Umetumia kigezo gani na wewe? Facilities, Walimu au Umri?????????
 
Jaribuni kubuni thread za maana zitakazozua changamoto za maendeleo, siyo kila siku habari za chuo bora, aaaaaaaaaaaaaargh!
 
Back
Top Bottom