Kipi hasa wanawake wanachokiangalia kabla ya kumkubali mwanaume na kujenga mahusiano ya maana?

uliyeanzisha uzi kama ni mwanaume,huna mvuto na hujakaa kiume tafuta sana pesa!.......itakusaidia kukupa confidence inaonekana hujiamini!
 
The true perfection of man lies not in what man has,but in what man is.
 
wanawake wengi wanaangalia vitu vya muda na si vya kudumu ... matokeo yake mambo yakienda kombo yanaanza magomvi
 
Wanawake wanaangalia vitu kama hivi,kwanza umekaaje,unasifa gani,je kiganjani unaenea?Je Una gx100,Master card je?je unajishughulisha nanini,Baadae ni Shaft performance!!Hii mkuu ukikosea unawezakuwa navyo vyote hapo performance ikawa mzozo imekula kwako!
 
yaaani_umejiandaajeandaaje!
 
bora wewe unayeangalia hela.kuliko wanaosema ilove you,kumbe she is a hell lair,men accept ladies who came for money,big up baby,ila all the world the is in recesssion lol!!
 
Maneno yote ni Tembo card Master card! Kama huna hiyo then you are not serious!
 
mie naangalia hela....

Mkuu Jestina, pesa pekee haileti mafanikio katika mahusiano/ndoa na kama ingekuwa hivyo basi kule Hollywood ambapo watu wana mapesa chungu nzima mahusiano/ndoa nyingi zingekuwa zinadumu kwa miaka mingi sana, lakini nadhani wao ndio wanaongoza kwa kutalikiana.
 
asilimia kubwa huangalia maslah yao kama je atakapokuwa na huyo mwanaume shida zake zitatatulikwa,then ndo love inafuata,Lakin kitu kingine wachache huaangalia mapenzi ya dhati then ndo mengine yanafuata.................
na mara nyingi mapenzi ya siku hizi huwa hayanaga formula huwa yanatokea tu ,,,watu wanapenda kwa muonekano wa nje

nimtatulie matatizo yake kwan me serikali?
 
mi sipendi pesa bwana. Naangalia true love. Lol

suppose ndo umemaliza chuo,unapiga kazi sehemu,akatokea mfanyakazi mwenzio(A) akakutongoza.Kabla hujamkubali akatokea jamaa mwingine(B) alikuacha chuo enzi hizo,jamaa amepata kazi ya maana,ana kamjengo ka maana pale kimara,ana ka gx mia,na anashow love kwako.jamaa A mnadandia naye daladala,na unamjua maisha yalivyo ya kubangaiza.Wote wawili ni vigumu kujua kwa kiasi gani wana mapenzi ya kweli.utamkubali yupi hapo. bwana A au B.
 
simkubali A wala B.
 
simkubali A wala B
 
mi sipendi pesa bwana. Naangalia true love. Lol

hiyo ni kwa upande wa kujenga mahusiano ya maana kama alivyotaka kujua mleta thread

je ikiwa uhusiano usio na maana(casual dating,kudate mme/mke wa mtu n.k) unaangalia nini?
 
Back
Top Bottom