Bahalulu
Senior Member
- Dec 21, 2012
- 106
- 23
Alimwambia nani Chuo kukijengwa kwa kodi za wananchi ndio kinakuwa Chuo kinachotoa elimu bora? Hebu soma kwenye matangazo ya kazi uone na ujiulize ni kwa nini baadhi ya Taasisi zinapotangaza nafasi za kazi kwa mtu mwenye digrii yoyote lkn wanaweka ..."isipokuwa digrii ya UDOM". Kama wewe ni mwl au kiongozi UDOM, nakushauri tafakari sana utagundua kuwa mnazalisha matatizo badala ya kiyapunguza. Poleni
Yaani nimegundua hauko sawa kabisa! hilo tangazo umeliona wapi tangazo ambalo lina maneno yenye red hapo? huku jamii forum ingekuwa watu wanapimwa IQ ndo wawe member ingekuwa bora sana..