Kipi chuo kikuu bora Tanzania?

Kama unataka kuiva kifalsafa, kupata utaalamu wa kudumu kichwani mwako na ari mpya ya kimtazamo neda udsm; kama lengo ni kumaliza digrii ya chuo kikuu nenda tawi lolote la Tumaini University.
 
Jamani tukubali tukatae UDSM bado ni bora kwa TZ, vingine vinafuata .....

Pia hata kwa ubora ndio Chuo kinachoongoza hapa TZ ,

As you know katika list ya vyuo bora Africa kimeshika nafasi ya sita yaani I was shocked hivi vyou vingine hatambuliki kabisa ....

Lakini sio kwamba hivi vyuo vingine havifundishi , la hasha ila huo ndio ukweli kuhusu UDSM.
Nimemaliza hapo mwaka jana , na ngoja nikachukue application form ya MBA kesho nijisomee mie.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mm ni muhtimu wa kidato cha 6 natarajia kujiunga na chuo kikuu mwaka huu ni kipi chuo bora wakubwa,nielekezeni mdogo wenu na munipe sababu kw nn ni bora?

Sidhani kama JF itakuja kuwa na GREAT THINKERS kama inavyojitangaza, kama wapo basi ni wachache sana na hawawezi kutandaza upeo na weledi wao kwenye haya majukwaa, hususani hili la elimu, wengi tunajazana jukwaa la siasa, maana humu vikinda vinaleta kero kwa kujaza mada zisizo na tija.

Mleta mada amebandika bandiko (thread) ambayo kimsingi haijitoshelezi kuweza kujadiliwa, lakini nimeshangaa kuona wachangiaji wamekurupuka kuanza kutoa michango HAFIFU ambayo kimsingi haiakisi maudhui ya mtoa mada.

Kwa hali isiyo ya kawaida, mtoa mada anadai yeye ni muhitimu wa kidato cha 6, na anahitaji ushauri chuo gani bora hapa nchini, HAMJIULIZI SWALI HAPA? kuna taarifa za msingi hazijawekwa hapa, inapaswa mtoa mada ajipange upya na arudi na taarifa toshelezi ili apewe ushauri fasaha.
 
Nna mashak na elmu yako Hv SUA ipo chn ya UDSM au ndo umecopy na kupest? DUCE nayo umeandka DECE
KAJIPANGE BRO...!!
 
Wngi mnxema udsm ya NYERERE je hii udsm ya KKWETE bdo mnaxfia?
Hv kwel udsm unawz kucompare na st. joseph ktk engnerng?
 
wenye fikra mgando bado wanaamini udsm ndio chuo bora pekee, ww angalia unataka kusoma kozi ipi hata ukisoma chini ya muembe waajiri wa sasa wanaangalia peformance cio chuo ulichosoma.
 
Wngi mnxema udsm ya NYERERE je hii udsm ya KKWETE bdo mnaxfia?
Hv kwel udsm unawz kucompare na st. joseph ktk engnerng?

wee nae sijui umetokea pori gani,st joseph level yake ni vyuo kama tumaini,saut,mzumbe,dit,ifm au muccobs.udsm level yake ni vyuo kama nairobi,makerere,sua,cape town,cairo au johensburg university.
 
km kawa UDSM ndio mpango mzima,chuo kinaheshima hapa tz na hata ktk nyanja za kimataifa b'se kinawa2 ambao wanastudy hard b'se waliochaguliwa UDSM wana alama za juu sana,kwhyo chek tokeo lako je lipo poa au
 
Haahaaa mbavu zanguu
UDSM na NAIROBI au capetown kwa lipi labda LAW na KSWHLI Bt 4 engnring st joseph hapan chezea
 
Sidhani kama JF itakuja kuwa na GREAT THINKERS kama inavyojitangaza, kama wapo basi ni wachache sana na hawawezi kutandaza upeo na weledi wao kwenye haya majukwaa, hususani hili la elimu, wengi tunajazana jukwaa la siasa, maana humu vikinda vinaleta kero kwa kujaza mada zisizo na tija.
Mleta mada amebandika bandiko (thread) ambayo kimsingi haijitoshelezi kuweza kujadiliwa, lakini nimeshangaa kuona wachangiaji wamekurupuka kuanza kutoa michango HAFIFU ambayo kimsingi haiakisi maudhui ya mtoa mada.
Kwa hali isiyo ya kawaida, mtoa mada anadai yeye ni muhitimu wa kidato cha 6, na anahitaji ushauri chuo gani bora hapa nchini, HAMJIULIZI SWALI HAPA? kuna taarifa za msingi hazijawekwa hapa, inapaswa mtoa mada ajipange upya na arudi na taarifa toshelezi ili apewe ushauri fasaha.
Kula 5 mkuu! Utamshauri mtu hujui kasoma combination gani wala anataka huko chuoni akasome programme gani??
 
Chuo kikuu bora ni MUM kiko Tanesco pale Moroogoro stendi ya mabasi makubwa, MSAMVU, kama unaelekea Dodoma. Wafunzi kujifunika hadi uso kunaruhusiwa, ilimu ya dini imetiliwa mkazo na ina walumu wachache kupunguza overcrowding. Hakuna mgomo wala hawawaandai vinara wa migomo. Ukitaka mke/memwema pale utampta kwani maadili wanajitahidi. Kwa upande wa professionalism sina uhakika kama wako-packed to what extent!! However, you have to envisage your future now. go ahead gathering important views from different people as you do now. This will help you so much guy
 
hakuna chuo bora zaidi ya kingine kigezo cha elimu ni ileile labda ubora wa rangi za majengo na ukubwa wa maghorofa GPA NI ZILEZILE
 
USITUKANE WATU WEWE amepata ufafanuzi wa swali lake kadri alivyoliuliza sio jukumu la muuliza swali kuuliza swali baada ya kuuluzwa bali anatakiwa atoe jibu linalojitosheleza kwa swali husikayeye anataka chuo bora ametoa uhuru kw awatu kuelezea ubora wanaufahamu wa vyuo katika nyanja mbali mbali kama michezo burudani elimu na nk
 
Back
Top Bottom