Kipi bora: LLM Vs Law school?

Akhsante kusema kweli ni mtihani mkubwa kwangu..naona km future ni blank mpk sasa..kupractise mpk law school,nayo ni expensive kama masters ilivo.
Halafu kwa umri kama huo tena unaomba ada na nauli na kujikimu kwa mzazi kisa uko shule bado-law school/masters? Ni aibu kwa kweli..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom