Kipi afadhali ?

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,779
Waungwana wadau, kwanza ninasikitika kwa kutokuepo mkekani kama ilivyo kawaida yangu kwa takriban siku 4-5 kufuatia kufiwa na Mama mdogo wangu J'2 iliopita na tumemzika jana (R.I.P mama). Wadau imefika karibu mwezi mmoja tangu nitatizane na mpenzi ambapo issue ilikua nimie kumkalia kooni aache Pombe.
Tangia hiyo siku nilimtumia msg mbili hakunijibu ambavyo si kawaida yake, kilichofata nami nikajibu mapigo ya kukaa kimya na leo imefika mwezi kamili no communication each other.
Aidha sio siri maumivu niyapatayo ni makubwa kuliko sana, yote kwa yote still bado niko na msimamo wa kutovunja ukimya kwani naamini kwa kuanza mie kuvunja ukimya ni kujirahisisha kama sio kujidhalilisha.
Nachouliza kati ya kupata hasara ya kukosa penzi na hasara ya kupata katika kazi/shughuli (kifedha) ipi yenye nafuu ?
 
Pole sana ndugu yangu kwa kumpoteza Mama yetu. Kuhusu huo uhusiano wako nitarejea kesho. Usiku mwema.
 
Kwa nini umechanga topic mbili: ya kifo cha mama (RIP mama yetu), na hiyo ya mpenzi?
 
Pole na msiba ndugu yangu...
Siku tano kiafrika ni chache sana kwa kuomboleza kuondokewa na mpendwa wako....
Chukua mda zaidi kuji-organize na mipango ya kijamii katika family yako.....
Huo ndio ubinadamu na utu na anayekupenda atakupima zaidi kwa hivyo
 
Kwa nini umechanga topic mbili: ya kifo cha mama (RIP mama yetu), na hiyo ya mpenzi?

MWALI ! wangu swali lako ni la msingi, na jibu ni hivi : Baada ya kua nimepata msiba the only one who may provide me enthusiasim at this sorrow times is my lover.
Mama mdogo ameniacha kwenye majonzi na mpenzi kunikatia fuse uchungu mwingine, sinae wa kuniliwaza! Muarobaini juu ya Shubiri ! Mambo juu ya mambo! Nitaponea wapi ?
 
Pole na msiba ndugu yangu...
Siku tano kiafrika ni chache sana kwa kuomboleza kuondokewa na mpendwa wako....
Chukua mda zaidi kuji-organize na mipango ya kijamii katika family yako.....
Huo ndio ubinadamu na utu na anayekupenda atakupima zaidi kwa hivyo

Thanks Gwalu!
 
MWALI ! wangu swali lako ni la msingi, na jibu ni hivi : Baada ya kua nimepata msiba the only one who may provide me enthusiasim at this sorrow times is my lover.
Mama mdogo ameniacha kwenye majonzi na mpenzi kunikatia fuse uchungu mwingine, sinae wa kuniliwaza! Muarobaini juu ya Shubiri ! Mambo juu ya mambo! Nitaponea wapi ?
Aaaah, nimekuelewa sasa. Pole sana. kabla ya kujibu wacha nikuulize tena: hivi wewe ni mwanaume au mwanamke? maana jina laki halisemi chochote kuhusu jinsia, na huyo mpenzi wako hujasema jinsia yake...
 
M W A N A U M E tena S H A B A B I then C H A M B E G U
 
unywaji wake ukoje? Hawezi lala bila pombe?
Ushauri:-
Mwanamke si mtoto ni mtu mzima kama wewe, mwenye akili timamu na mwenye uwezo wa kufanya maamuzi!!

So as a BF, kazi yako kubwa ni kumSHAURI na kumuonesha madhara ya tabia yake hiyo!

Na kama ameshakuwa alcoholic (addicted), anahitaji tiba au deriverance (maombi) na sio mkwara!

Hivi ni wanaume wangapi wanakunywa pombe? Wanawake wangekuwa wanawachukia kwa kitendo hicho si wangeend up kuwa wehu kabisa? Kama unampenda, mshauri badala ya kumpiga marufuku, au seek more help kama keshakuwa addicted!
 
1st, kwanini unamkataza kunywa pombe?

Mimi Sinywi ! Then nipe Source wapi umepata Sikia Kiongozi iwe wa
Kanisa
Msikiti
Sinagoki
Jamaat
Siasa
Taasisi
Anahimiza watu wake wakanywe mipombe?
 
Nafikiri post yangu hapo juu, yaweza kuwa msaada ukitaka; hilo la nani kuhimiza kunywa ni mjadala mwingine!

All the best in 2012
 
Aaaah, nimekuelewa sasa. Pole sana. kabla ya kujibu wacha nikuulize tena: hivi wewe ni mwanaume au mwanamke? maana jina laki halisemi chochote kuhusu jinsia, na huyo mpenzi wako hujasema jinsia yake...

MWALI ! Mbona umezimika? Hoi usingizi au? ( ? )
 
RIP MAMDOGO
sasa achana na mapenz kwanza jipe pumzi kidogo badae ndio utaendelea nayo mana yako cku zote ila mamdogo ndio hayuko tena
 
Hii ishu inakuwa ngumu sababu huyo ni mpenzi na hatujui una malengo gani nae. Angekuwa mke/mchumba ushauri ungekua tofauti. All in all mi naona kitendo chake cha kukaa kimya mwezi mzima kinamaanisha hayuko tayari kuacha pombe, kaona bora akuache wewe!
 
Pole sana kwa msiba. Kuhusu mpenz wako nahc ulimtaman bila kumchunguza mwanzo. Kaanza kunywa lini? Vumilia tabia yake kwa kuwa hukutaka kumchunguza mapema! Majuto ni mjukuu.
 
M W A N A U M E tena S H A B A B I then C H A M B E G U
Teh Sasa mbona kesi imeisha??? Mwanamke hatakiwi kuwa na kiburi cha hivyo...kumtafuta ni kujilazimisha kuingia kwenye maisha ya migogoro kila siku...huyo kimeo na si mke mtarajiwa...ni kero mtarajiwa
 
Back
Top Bottom