Elections 2010 Kipengele cha 'kadhi' chapigwa 'x' ilani ya CCM!

ikumbukwe kwamba mahakama ya kadhi ni suala la kiroho.ikumbukwe pia ni wanasiasa waliowaahidi waislam mahakama ya kadhi[mrema,ngawaiya na ilani ya ccm 2005].tunavyojadili suala hili ni muhim tutazame diction yetu.utumizi wa maneno kama'mahakama ya kadhi ni suala la kipumbavu' hivyo slaa hana muda nalo ni maneno yanayowadhiaki inocent moslems.ikumbukwe kuwa slaa atahitaji kura za wote[moslems+christans+others] ili kufanikisha dhima ya ushindi.tusitafute sababu za kijinga kuwa-influence moslems kwamba dk slaa hawahusu na kuwanufaisha mabingwa wa kupika propaganda.tunapotumia jf kama platform tukumbuke dhana ya religion tolerance:tape:
 
Guys........take it easy. JF is just an arena to express our opinions and give our ideas.There is no point of fighting when fighting in here doesn't change much.
 
mmh sawasawa basi wewe malaria sugu punguza ukada
-usilete statement zako indirectly watu washakun'gamua ma broo
-tafuta mbinu nyngine kaka au km vipi jiandkishe kwa jina lingine ili watu wasikugundue lakn mhh watu wana akilio sana umu watagundua tu thats its u by materials utakazozidondosha.
ms zidumu fikra za mwenyekiti............
-unaizingatia kanuni ya 5 kweli?? unaijua kwani?au wew ni kada mpya mpya?hahahahahahaaaaaaaaaaa kamcheki makamba akupe!!!!!!
 
Back
Top Bottom