Kipenda roho..???

Mbona kwenye hizi sioni cha kushangaza? Huyu Michael Douglas alikuwa Sexiest Man Alive mwaka mmoja kama sikosei.

Mkuu Kang, inawezekana wenzetu kuwa wanampenda mtu kwa mapenzi ya dhati ; lakini kwetu huku mapenzi ya namna hiyo hayapo ni pochi tu!!!
 
A man is money!!!!!!! !!!!!! Once he has money he will have a woman of his choice
download
 
Back
Top Bottom