Kipara achia madaraka kulinda amani udsm

kagarara

Senior Member
Nov 23, 2010
118
9
Hapa udsm hapakaliki! Kipara asemekana kuwa chanzo cha matatizo kwa kujiunga na tahliso kinyemela pasipo kuwahusisha wapiga kura wake. Hoja hapa ni kwamba kipara ang'oke. Sasa najiuliza kipara mbona anang'ang'ania madaraka wakati waliomchagua hawamtaki na bunge limethibitisha hilo?
 
Back
Top Bottom