Kipanya leo!!

Wape kipanya wape haooooooooo..\

Naongezea shuka lenyewe lina kunguni.....
 
Uwiiiiii...!!!! Kumekucha, usingizi nao unakuja. Dah...., too late! Maskini, akijakuamka siku nayo imeisha na hajafanya kazi yoyote!
 
Kipanya ni moto aise
Huwa sijui anawaza nini kichwani mwake kwenye kufikisha ujumbe wake
 
Wasanii wabunifu kama Kipanya, huwa wanamtizamo mpana sana. Hii katuni inaweza kuandikia kitabu kizima kulingana na mapungufu yaliyopo. Ila kama ni werevu, wanaweza tumia ujumbe huu kujirekebisha/kujisahihisha badala ya kuanza kumzonga Kipanya wa watu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom