Kipanya leo!!

pamoja na matumizi ya kila aina ya sabuni doa limekataa kutoka
Kweli hilo doa ni balaa
 
Mwisho wa siku ni kuitia moto iyo Nguo
Kwenye RED; hiyo ndo dawa pekee ya kuondoa doa-CCM na ikishindikana basi tunachimba shimo na kuifukia hiyo nguo....... Pole Mtoto wa Mkulima hapo huponi na 2015 bora utangaze kustaafu siasa kwani utakosa heshima yako.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom