Hao Mabroo ... Wametokwa na macho ya tamaa kuliko hata hao wanaondoka!! JK una kazi!! subri kabla hata mwaka haujesha ... Bunge litakupiga breshaaa ili ili !! Watch out!!!!
Tatizo formula anayotumia kuteua viongozi results zinatabirika ngoja uone kama kipanya anavyosema wote ni panya wale wale. Recycling ya mwenzetu, wapambe na retired officers tu. Ngoja usikie captain Komba anachukua wizara ya nishati na madini, Maji Marefu anenda technologia na elimu ya juu.
JK anajua watanzia waadirifu ni CCM, retired army and govt officers tu, mpaka atakapojua kwamba vyama vya upinzani, wanaharakati, wasomi, machinga na sekta binafsi nao watanzania na wanaweza kupeleka Tanzania mbele zaidi. He should think beyond those panya's.
Hapo umeongea mshikaji. Tatizo kubwa la Kikwete sio kama hajuwi nani wa kuchagua, yeye anataka watu wa kumlindia maslahi yake binafsi serikalini na ndiyo maana unakuta hawa panya buku wanaiba bila huruma huku wakijua broo wao yupo kwa kuwatetea. Hawa panya buku anaoshikinizwa kuwafukuza ni washikaji wake na walikuwa wanamtetea ama kumlindia miradi yake kwenye idara/wizara husika, hivyo inamuwia vigumu amuweke nani kwenye hizo sehemu baada ya kufukuza hao panya buku walioshiba kulishwa na broo wao! Mtaona wenyewe, hafungwi mtu wala kutaifishwa mtu japo wameliibia taifa. Nchi nyingine hawa panya buku ubanikwa hadharani ama uchinjwa kwa kuibia taifa ila Bongo wanapeta tu kwa sababu broo aliwaahidi kuwalinda. Hii nchi basi tu.

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.