MESTOD
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 4,798
- 2,004
Hapa tulipo ni kwa ajili ya udhaifu wa viongozi wetu. Wewe mtu anaiba, kosa la jinai, raisi anasema rudisha hela usepe, si afadhali dikteta imara?
Jaribu kulinganisha Libya ya dikteta Mar. Gaddafi na Tanzania ya Kikwete.
Nitakuelewa ukisema kipanya hakuonesha dikteta kwa macho ya nani, marekani na washirika wake au wananchi watawaliwa!
Big up Kipanya.