Kipanya: kweli hiki ni chama kilichoduma!

narudia tena na ntazidi kurudia ukiona kijana akishabikia ccm kwa sasa ni njaa na si kingne,like it or nt,najua mpo ila sure rika la sasa c la ku2ambia ccm itatutimizia ndoto ze2 za kimaisha,hata we kijana mwenye njaa ambae umekubali ku2saliti masikin weng ila nawe uwe juu unalitambua hli bt we hope one dy yes

mtu akishabikia ccm ana njaa, sawa nakubaliana na wee.
na je mtu akishabikia chadema............kwa mtazamo wangu ni MDINI.
na kwani lazima wananchi wote wawe chadema??? grrrrrrrrr. wengine hatuna vyama, sie kazi yetu kuleta usawa kotekote , ccm ikikosewa inapondwa vile vile lkn usilete propaganda za chama chako cha chadema kuonekana mzalendo kuliko watu wengine.
 
acha waje na matusi yao.....watatukana hadi watachoka lkn penye ukweli sitokaa kimya. Si uongo maana Chadema wanatumia majanga ili kupata sympathy toka kwa wananchi, hili halina uongo. Kama kuna mtu anaona huu si ukweli, basi aseme huo ukweli wake

Una umri gani ndugu????????
 
mbona chadema hili mnalo, mwaka huu mtachimba makaburi kila kona.

lkn mkishazika na kupata umaaurufu mnawasahau. kule Arusha mapambano yalikuwa Meya sasa jee mmefikia wapi ? watu walikufa na mlizika, jee mlifikia wapi ?


subirini na kwengine mchochee vurugu halafu muwasahau kama mtavyowasahau wana Tarime si muda mrefu
 
mbona chadema hili mnalo, mwaka huu mtachimba makaburi kila kona.

lkn mkishazika na kupata umaaurufu mnawasahau. kule Arusha mapambano yalikuwa Meya sasa jee mmefikia wapi ? watu walikufa na mlizika, jee mlifikia wapi ?


subirini na kwengine mchochee vurugu halafu muwasahau kama mtavyowasahau wana Tarime si muda mrefu

washastukiwa, bwawa limeingia ruba!
 
Don't twist the truth for your own political interests, nasimamia kwa nguvu zote wanachokifanya chadema, Na wewe unayeshabikia magamba simply kwa sababu kwenye uchaguzi ulopita ulifaidika kwa kupata t-shirt ya kijani na kofia ya njano huwajui hao magamba, yakikufika na wewe ndo utaelewa ni nini watetezi wa wanyonge(CHADEMA) wanakifanya.
 
Jamaa huyu ni mkali kiliko katunist mwingine yeyote.
Ana vipaji vingi, mtangazaji, mchoraji, mbunifu wa mavazi, mshereheshaji, pia ni mfanyabiashara..
Namkubali sana.
 
Naona kiranja mkuu sijui kaamakia wapi ... au kaibiwa password?? mara mnato, mara kipanya mara.... eh!!!

Not the Kiranja mkuu i know!!
 
Back
Top Bottom