Kipanya hapa sijakukubali

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,260
7,195
kuna kitangazo ktk TV anaonekana jamaa na km ndoo fulani iliyo na kodi ndani, halafu pia wanaonekana wafadhili nao wana ya kwao.Wote wanajaza ktk pipa ambalo nalo limetoboka, halafu pana kuvuja kwa fedha.Jamaa kaandika kinachovuja kuwa ni Misamaha ya kodi. mimi nakataa kwa hilo, kwani kinachovuja ufujaji na wizi.Ila misamaha ya kodi angalau inge vuja kutok kutoka ndoo ya TRA na si ktk kile kilichokwisha ingia ktk public coffer. nakukubali ila jitahidi ongeza fikra.
 
Kipanya ni mchoraji 2 si great thinker kama wengi mnavyopenda mfikiri
 
wachoraji wengi wapo makini na ni more problematic kuliko wanasiasa kwa kawaida.nadhani ana mambo mengi kiasi cha kushindwa fikiria michoro yake vyema.Ila mbaya ni tangazo la wadhamini na activist.
 
jamani kapewa mada na mhusika wa Tangazo. ukipeleka kitambaa kwa fundi atafuata mshono uutakao!!!!!
 
ila majadiliano kati ya contractor na clinet huwa yanakuwepo kabla na kipindi project ikiendelea.Kuhusu suala la mchoro huwa inaweza kuwepo zaidi ya mmoja na baadaye client kuchagua mmoja na kuufanyia marekebisho hadi kupitisha moja.
 
hata mimi wewe mwandishi wa mada sijakukubari,kwani wewe unatakaje?kipanya kaelekezwa cha kufanya ile kazi si yake nenda kwa gazeti la mwananchi uone vitu vyake.
 
nami huwa namkubali ila hapa sijamkubli?Si kwamba ninamshambulia ila ni hivi: sanaa ya kuchora huwa mwandishi anawepewa requirements ila jinsi ya kuziweka huwa yeye ndio afanyaye.Ingekuwa ni nyumba mchoraji anachora michoro akiwa kapewa requirement fulani fulani halafu yeye ndio ana options nyingi za kurepresent halafu ktk yahizo kuna zitakazochaguliwa na kuweza fanyiwa marekebisho.Anayetakiwa kufanya exactly km anavyotakiwa ni mjenzi wa jengo na si mchoraji.yaani kama mchoro wa kipanya ungepelekwa katika kinyago basi mtengeneza kinyago ndie angepaswa kufanya exactly.Kwa hiyo si kweli kuwa alipewa exactly unachosema bila kupewa room ya kuweka vitu sawa. Pia kama ingekuwa kweli basi kuna haja ya wasanii kujifikira kwa makini.Sidhani kama actor mwenye akili akipewa sehemu ya kuact kuwa shoga kama ni kila mtu atakubali.Pia msanii wa ubunifu hawezi ambiwa afanye kitu kischo sahihi atakubali. By the way mimi nawaamini sana jamaa wa katuni kwani ,ni watu obserant na creative sana,vitu vyao vipo ktk imagination zao.
 
Back
Top Bottom