Kipa wa manchester united

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,715
wakuu habari yenu
ebwana mimi kiukweli simkubali kabisa kipa wa manchester united wa sasa david de gea ......
Anafungwa kizembe sana, anatema mipira kizembe sana hajui kupanga mabeki wake
wakuu mnaonaje katika hili???
 
Kipa ana matatizo lakini sio makubwa kama unavyosema,ukweli mabeki wake ndio wanasababisha magoli mengi hasa yamesababishwa na Evra,Ferdinand na Evans.Mfano halisi ni mechi dhidi ya Man City na FC Basel
 
Kipa nw yuko fiti tatzo ni beki na kiungo'beki inakatika sana viungo wanapanda xana mbele kwa hyo gape linakuwa kubwa sana mafoward wa timu pinzani so ndo unaona degea kapigiwa mashut meng epl kulko kpa yoyote
 
Safari hii Babu Fergie ametuletea Sharobalo sio kipa,bora hata Vd sar
 
Kipa ana matatizo lakini sio makubwa kama unavyosema,ukweli mabeki wake ndio wanasababisha magoli mengi hasa yamesababishwa na Evra,Ferdinand na Evans.Mfano halisi ni mechi dhidi ya Man City na FC Basel
Hapo kwenye NYEKUNDU,Kwani hao Evra,Ferdinand na Evans ni wageni kwenye premier League? Mbona hamjawasema niaka yote hiyo? kuteleza si kuanguka watarudi kwenye kiwango chao soon, hii ya bao sita isifanye mkaanza kuwachukia wachezaji wenu wa miaka waliowasaidia kuijua Man u. Na nina KUHAKIKISHIA BILA YA HAO MANU ISINGEKUWA HAPO ILIPO.
 
Kama unaijua mpira na unaangalia mechi za Man U utaliona hilo but kama unaongea kishabiki huwezi kuona.Uliona karibu magoli 3 yametokea upande wa Evra kwenye game dhidi ya City.Rio tangu amekuwa majeruhi kiwango kimeshuka hadi Capelo amempiga chini timu ya Taifa.
 
naunga mkono kuhusu kupwaya kwa evans na Rio,but kipa yupo vizuri,mechi ya city haikuwa na ujanja kwa Gea,hata kama anggekuwa Van der ser angepigwa tu,,,,.....
 
naona De-Gea wengi mmemtetea; nakubaliana nanyie lakini huyu dogo bado kupambana na mikikimikiki mizito; anashindwa kuongea na mabeki na kuwapanga vizuri jambo amabalo ni hatari hasipojirekebisha. matuini yapo zidi yake lkn Furgason hapaswi kuendelea kumtukuza kana kwamba yeye ndo mwanzo mwisho,kwenye mechi ya man City angempanga Mdenishi tusingefungwa magori yote hayo.
 
ManU defence is very porous esp. now that Vidic is out.
Evra is not playing well since the start of the season. Ferdinand's best days are behind him. Jones is slowly getting there.
 
mimi naombea abaki hivyohivyo mpaka mechi ya marudiano na arsenal ili tulipe kisasi.
man city walimla akiwa full nondo arsena nasi tutamtandika akiwa full mkoko.
 
Kipa ni mzuri, nadhani hajazoea sana ligi ya premier. Taratibu anaonekana kubadilika!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom