Kiota/makutano junction

Kipi kiota bora cha wadau kukutana?

  • Nyumbani Lounge

    Votes: 1 6.7%
  • Mafian Lounge

    Votes: 0 0.0%
  • Run away

    Votes: 0 0.0%
  • Didiz

    Votes: 0 0.0%
  • Break Point

    Votes: 0 0.0%
  • Samaki Samaki

    Votes: 3 20.0%
  • Calabash

    Votes: 6 40.0%
  • Mzalendo Pub

    Votes: 3 20.0%
  • TCC Chang'ombe

    Votes: 2 13.3%

  • Total voters
    15
  • Poll closed .
Dialog kati ya Mimi na Mimi might just work.
Na hivi na mimi ni mwanasaikolojia ndio kabisaaa hamna kitakachoharibika.

pamoja na kuwa mi si mwanasaikolojia, unachosema hakiwezekani. Monologue is half crazy. Suppose umetoka job umechoka. Unasema, 'dah! Kichwa kinauma!' Unajijibu vipi?
 
"Pole yangu. . . let me take a min and relax"

Mbona hata hamna ugumu?
 
angalia isije ikawa talking madness, mkuu. Em nipe verse moja ya talking therapy

ah RF mkuu wangu hii ngoma imekushinda, niachie tu kwa roho safi, hzo verse ntazimwaga kwa mwanafunzi wetu ambaye wewe umeniachia mimi lol
 
Hahahahahaaa! Sawa bwana. Kazi kwako mkuu. Hii kitu naiweza zaidi ana kwa ana. Ila usisahau kunipa mrejesho
 
Ngoja niwaache muelimishane wenyewe kwa wenyewe kwanza @ RA na jG

mmmh na wewe huna dogo? Mpaka uharibu, mi nmetoka kumtuliza RF na kishanikabidhi mikoba yote afu we unasusa tena.
Nmekwambia subiri ntoke huku majini, mbona una haraka hvyo tena?? Mmweh!!
 
kama mie najijibu ' sio sana, ngoja nipitie panado kwa mangi halafu nikika nioge na kupumzika'

pamoja na kuwa mi si mwanasaikolojia, unachosema hakiwezekani. Monologue is half crazy. Suppose umetoka job umechoka. Unasema, 'dah! Kichwa kinauma!' Unajijibu vipi?
 
mmmh na wewe huna dogo? Mpaka uharibu, mi nmetoka kumtuliza RF na kishanikabidhi mikoba yote afu we unasusa tena.
Nmekwambia subiri ntoke huku majini, mbona una haraka hvyo tena?? Mmweh!!

unaona sasa? Bado tu hujui mbinu zao? Yaani mfuate huko room kwa lugha nyingine
 
mmeamua kula vilivyo na maj?

mmmh na wewe huna dogo? Mpaka uharibu, mi nmetoka kumtuliza RF na kishanikabidhi mikoba yote afu we unasusa tena.
Nmekwambia subiri ntoke huku majini, mbona una haraka hvyo tena?? Mmweh!!
 
kama mie najijibu ' sio sana, ngoja nipitie panado kwa mangi halafu nikika nioge na kupumzika'

yawezekana kabisa kichwa hakikuhitaji panado. Was a just a matter of talking therapy resulting from dialogue. Nawe nakukabiidhi kwa J.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom