Kiota/makutano junction

Kipi kiota bora cha wadau kukutana?

  • Nyumbani Lounge

    Votes: 1 6.7%
  • Mafian Lounge

    Votes: 0 0.0%
  • Run away

    Votes: 0 0.0%
  • Didiz

    Votes: 0 0.0%
  • Break Point

    Votes: 0 0.0%
  • Samaki Samaki

    Votes: 3 20.0%
  • Calabash

    Votes: 6 40.0%
  • Mzalendo Pub

    Votes: 3 20.0%
  • TCC Chang'ombe

    Votes: 2 13.3%

  • Total voters
    15
  • Poll closed .
Hahahaha. . .kwani wako uko kwenye Menu?

Hhm wa kuchoma sijawahi kula. . . ngoja nikija ntajaribu.

wangu uko kwenye menyu ya talking therapy. Huo wa ng'ombe wa kuchoma ni mtam balaa!
 
Talking therapy ehhh? How does that work?

Basi itabidi nijaribu aisee.

talking therapy nzuri sana. Ukipata mtu anajua kuipractice ni noma. Lakini kama ungekuwa pale jb belmonte siku ya alhamis jioni ungeielewa zaidi
 
Embu nipe picha kwa maneno ILIKUWAJE?
Na inafanyaje kazi?

mi mvivu sana kuandika. Hope unamjua psychologist mmoja anaitwa chris mauki. Tafuta cd zake. Na utazipata kupitia hawa jamaa wa east africa speakers bureau
 
We mtu hyo chimba chimba ilimponza Kuku! Lol...

Hey Raia hvi hlo zoezi la Kiota liliishia wapi? Nakumbuka nlvote!

mkuu naona eneo la tukio lina wadau wengi sana. Hope wapo waliorespond kimyakimya maana vijana wanajipa raha zao kwa wingi tu hapa calabash, na liveband safi. Kuna mdingi mmoja anakung'uta saxofone kama hana akili nzuri. Kenny G cha mtoto
 
mi mvivu sana kuandika. Hope unamjua psychologist mmoja anaitwa chris mauki. Tafuta cd zake. Na utazipata kupitia hawa jamaa wa east africa speakers bureau

Hhmmm. . .
Simfahamu, ntajaribu kujiongelesha mwenyewe.
 
Hhmmm. . .
Simfahamu, ntajaribu kujiongelesha mwenyewe.

dah! Hiyo kali talking therapy inahitaji dialog, mama. Wish ningekupa hiyo kitu. Pia nenda kwenye tovuti ya EASB utamwona huyu mwanasaikolojia. Ni mchaga, ni mtanzania
 
mkuu naona eneo la tukio lina wadau wengi sana. Hope wapo waliorespond kimyakimya maana vijana wanajipa raha zao kwa wingi tu hapa calabash, na liveband safi. Kuna mdingi mmoja anakung'uta saxofone kama hana akili nzuri. Kenny G cha mtoto

Kenny G cha mtoto??
Tafadhali bwana!
Ile band inafanya vizuri sana.
Dah mi nlvotia Tcc club chang'ombe ndo karibu na mitaa yangu, ila nkirudi mjini ntafanya kujisogeza!
 
dah! Hiyo kali talking therapy inahitaji dialog, mama. Wish ningekupa hiyo kitu. Pia nenda kwenye tovuti ya EASB utamwona huyu mwanasaikolojia. Ni mchaga, ni mtanzania

Dialog kati ya Mimi na Mimi might just work.
Na hivi na mimi ni mwanasaikolojia ndio kabisaaa hamna kitakachoharibika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom