Kiota/makutano junction

Kipi kiota bora cha wadau kukutana?

  • Nyumbani Lounge

    Votes: 1 6.7%
  • Mafian Lounge

    Votes: 0 0.0%
  • Run away

    Votes: 0 0.0%
  • Didiz

    Votes: 0 0.0%
  • Break Point

    Votes: 0 0.0%
  • Samaki Samaki

    Votes: 3 20.0%
  • Calabash

    Votes: 6 40.0%
  • Mzalendo Pub

    Votes: 3 20.0%
  • TCC Chang'ombe

    Votes: 2 13.3%

  • Total voters
    15
  • Poll closed .

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,877
2,758
nashauri ama kupendekeza pawepo na eneo fulani ambapo wadau mbalimbali hasa wale wenye kuhitaji kukutana na marafiki/wenza wapya, watakutana na iwe mbadala wa kiota cha mtandaoni. Sehemu yeyewe iwe ni ya burudani na inayofikika kwa urahisi na idadi ya wadau ya kutosha. Aidha sinza ama kinondoni ama sehemu nyingine. Halafu kiota specific, mfano san cirro, mango, n.k.

Kwa kuanzia vipendekezwe viota kama vitano hivi kisha kila kimoja kipigiwe kura na kuwe na time limit. Kiota chenye kura nyingi ndicho kitakuwa makutano ya wale wanaohitaji kukutana na wenza na marafiki wapya. Anzeni basi kupendekeza. Mmojawapo wa wadau wa jukwaa hili aratibu hili zoezi. Mwisho wa siku mtagundua faida yake. Thanks!
 
mh! Naona hata wazo la kiota linaogopwa. Au mnaogopana hadharani?
 
Raia fulani watu wanaogopa reality wewe! Usione twajimwaya hapa jamvini ukafikiri na reality zetu zipo hivo.....
 
Aaah nikishakutana na wewe sintaweza kukupinga kwenye hoja mana nakufahamu.
 
1. Nyumbani Lounge
2. Mafian Lounge
3. Run way
4. Didiz
5. Break Point

ila ujue wengine ni ma mbimbi mtatukimbia bure!!!
 
Raia fulani watu wanaogopa reality wewe! Usione twajimwaya hapa jamvini ukafikiri na reality zetu zipo hivo.....

sio lazima tuambiane id zetu. Mnakutana tu hiyo sehemu bila kutilia maanani kama huyu yuko jf
 
Sasa kama hutilii maanani uwepo wa mtu JF siuende tu hizo sehemu ukakutane na watu wanaokuwepo siku zote?

sijui ni kwa nini watu wanaogopa kuonana. Ndio maana siku moja pakatokea msiba hapa jukwaani kwa memba mmoja ikabidi niulize, kumbe hata jf members huwa wanakufa?

Ila wewe binafsi itafika siku tutaonana maana ni biz oriented issue
 
Mi mbona siogopi?
Watu wapo wengi tu wanaokutana, sema wale waliozoeana.

Mmmh what biz?
 
Mi mbona siogopi?
Watu wapo wengi tu wanaokutana, sema wale waliozoeana.

Mmmh what biz?

sasa hao mnaokutana, changanya na hawa watarajiwa, kiota kinatimia. About the biz, i will tell you when the time is ripe
 
sasa hao mnaokutana, changanya na hawa watarajiwa, kiota kinatimia. About the biz, i will tell you when the time is ripe

Watarajiwa ndio waoga sasa.
Ukichangie ile ishu ya "ukimwona mtu waweza kukimbia" yani watu full kuwatisha wenzao humu.

Orait. . . . nasubiria.
 
Watarajiwa ndio waoga sasa.
Ukichangie ile ishu ya "ukimwona mtu waweza kukimbia" yani watu full kuwatisha wenzao humu.

Orait. . . . nasubiria.
Watu wamekutana kwenye wrong number za simu wakawa wachumba na baadaye kuoana itakuwa ni tofauti na JF? Sidhani hivyo itakuwa kawaida tu, tukutane hata kesho.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom