Kiongozi wa UVCCM atokomea na mamilioni aliyochangisha Nahodh

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884


MWENYEWE ALITOA SH2 MILIONI, SHEKIFU, OLE SENDEKA NAO WALICHANGIA
Peter Saramba, Arusha
MMOJA wa wanachama wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Wilaya ya Simanjiro, mkoani Manyara, anadaiwa kutoroka na zaidi ya Sh26 milioni za jumuiya hiyo.


Mwananchi
 
Ni suala la kisheria zaidi.... nadhani vyombo vinavyohusika vitatekeleza wajibu wake kikamilifi.
 
Kawaida yao kwani umesahau mwenyekiti wa magamba dar na meya wa dar si enzi zao wanaongoza uvccm walikula mradi mzima wa mabasi ya wanafunzi na hakuna alokemewa? Ccm - chukua chako mapema. Magamba wala haiwastui kwani huyoi kijana kaonyeha kufuzu mafunzo na mbinu za uongozi wa magamba.
 
...haram kwa haram,hapo ni sawa na...aliyeeuza chen feki naye kapewa pesa bandia...pesa iliyopatikana kwa njia za ufisadi zimeibiwa?!...picha ninayoina hapo ni sawa na jambazi kuibiwa na kibaka,je jambazi anauwezo wa kwenda kulipoti polisi ya kwamba kaibiwa?...
 
wote wezi, wengine wanaiba kimya kimya kwa kalamu, yeye kakimbia na kapu la mchango wote wezi tu. hana tofauti na white hair
 
Ndo malipo yake kama walikuwa wanamtumia kwa kumpatia mshahara mdogo
 
CCM=Chukua chako mapema.katekeleza sera za chama chake kunakosa gani sasa!!
 
Back
Top Bottom