Kiongozi wa Kiroho Mhm Kr Pengo aionya serikali ya Mkweere!!

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,271
Ametaka serikali kushughulikia tatizo la ufisadi! Amesema serikali yoyote ile inayonyenyekea watu wachacha kwa gharama ya wengi ni ya kisaliti!

Chanzo ITV!
 
Huwa mimi nakerwa sana na tabia ya viongozi wa dini kuharibu ibada kanisani wakati wa mahubiri. Utakuta wana anza kuhubiri maswala ya siasa badala ya kutoa mahubiri ya kiroho.

Ila siku ukisikia Tanzania imejiunga na OIC, nitakuunga mkono kama ukilalamika.
 
Kwani uongo, Kikwete anauleya huu ugonjwa kwa kuwa yeye mwenye ni Fisadi. Huyu Mkwe...re asifike 2015 aswekwe ndani akanyee debe
 
viongozi wetu wa dini wanasukumwa na udini huyu pengo wakati wa alikuwa wapi? na leo anataka kutueleza nini? atambae mbele...
 
viongozi wa dini msikemee maovu, wananchi, ( waumini) hawa pendi, but natoa rai tufanye mapinduzi ya elimu kabla ya kilimo, tufute ukungu vichwani mwa watanzania, napia naomba waislamu wapewe elimu bure, kuanzia darasa la kwanza mpaka chuo kikuu, ahsanteni
 
pengo umenena. kauli kaitoa wakati muafaka.kazi ya viongozi wa dini sii kuhubiri tu dini bali kukemea maovu.saa mnamshambulia kwa nn kwani kasema uongo? tatizo la watanzania ni kupinga kila kitu.wasipokemea wao nani sasa akemee?
 
habari kamili someni mwananchi,kama kanisa linataka mafisadi wachukuliwe hatua kwani limebagua hao mafisadi kwa dini zao?kama mkapa nae fisadi achukuliwe hatua! Pengo hajasema waislamu tu waadhibiwe jamani!
 
serikali inaendekeza na kuchochea udini usiokuwepo kwa malengo maalum,itatugharimu!tunaacha hoja tunaingiza mtazamo udini! What wrong with this country? Itatugharimu watanzania lazima tujisahihishe.
 
Back
Top Bottom