Tanganyika
Member
- Nov 4, 2010
- 67
- 1
Hakuna haja ya kuandikia mate; Ngoja tuone yupi zaidi kati ya Hamadi Rashidi na Mbowe. bila kujaribu kitu au mtu huwez kujua ubora wake. Zito alikuwa kijana mzuri mtetezi wa maslahi ya taifa lakini anaenda speed............baada tu ya kuchaguliwa kwenye tume ya madini na ikamaliza kazi.........zito alibadilika sana........sijui ni nini alilishwa hukuo!!!!!! Inaonekana ameshawekwa sawa na CCM, ninachoona Zito akihama tu CDM amekwisha kisiasa lakini akatulia na akasikiliza wakuu wake atafika mbali mno, umaarufu huja kwa kasi na pia huondoka kwa kasi sana............hivyo umaarufu aliyokuwa nawo usije ukamponza, aangalie wakina masumbuko Lamwai wako wapi leo.
So far ukimondoa huyo Zitto ambae nina uhakika siku zake chadema zinahesabika watakaobakia kwenye nafasi za juu majority wanatokea kanda ya kaskazini sijui kama ni kwa bahati mbaya au makusudi.