Kiongozi wa Kambi ya Upinzani safari hii....mmmh

As far as I know him, he is a self-centred businessman who wants to use politics for personal gains.

NEVER FOR THE BENEFIT OF THE NATION....never.

It is pity that most of his followers can't see this.

Hawaelewi hawa kuwa wanatumiwa kama wanavyotumiwa wale madada poa pale bilicanas
 
KWANZA TUPE MSIMAMO WAKO KUHUSU MKAKATI WA KUDAI KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI, UNAIAMBI NINI CCM NA jK KUHUS MAMBO HAYO? NDIO TUKUAMINI KUWA NI MWENZETU.

Yanazungumzika, lakini si kwa style wanayokuja nayo Chadema.
 
jamani naomba mtutake radhi kikwete hana MASTERS,ana u DR wa kusingiziwa tu,yule baada ya BA yake sbb alikua amefeli aliamua kujiingiza ktk siasa za tanu
 
wakuu mbona mnatoka nje ya mada,badala ya kuelimishana na ku argue kwa hoja mnaanza kuttoleana maneno ya kashfa na ya kbaguz,tusifanye hivyo plz mbona jf ni jukwaa la wasomi na great thinkers jaman? hebu tulumbane kwa hoja
 
yanazungumzika, lakini si kwa style wanayokuja nayo chadema.
kwa kuwa unapata kigugumizi cha mdomo na mikono katika keyboad kusema kutoka rohoni kuiambia cc na jk kuwa tunataka mabadiliko ya katiba ya tume huru ya uchagzui then you are just a puppet wa el na ra!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

You are just wasting our time, the more tunavyojadiliana na wew ndivyo mwenzetu unavyopocket kutokana na mafanikio ya kudistract attention yetu kutoka kwenye mabadiliko ya katiba na tumne huru ya uchaguzi
 
wakuu mbona mnatoka nje ya mada,badala ya kuelimishana na ku argue kwa hoja mnaanza kuttoleana maneno ya kashfa na ya kbaguz,tusifanye hivyo plz mbona jf ni jukwaa la wasomi na great thinkers jaman? Hebu tulumbane kwa hoja

wapo ambao wamenunuliwa kudistract attention ya wachingiaji kutoka kwenye hoja za msingi za mabadiliko ya katiba na tume huru ya uchaguzi na kila mara wanatuletea upuuzi wao wa zitto. Huyo zitto baadhi tunao uwezo wa kumzaa tukiwa tunapiga push upp!!!!!

Watu wanafika hatua yab kuchukua mapicha ya zamani ya safari za zitto na kutuletea ili mradi kuvuruga majadala, si vibaraka tu hao.
 
jamani naomba mtutake radhi kikwete hana MASTERS,ana u DR wa kusingiziwa tu,yule baada ya BA yake sbb alikua amefeli aliamua kujiingiza ktk siasa za tanu

Naomba radhi sana, it was oversight.

Nime-counter check nimeona ni kweli ana BA tu.

Angalizo: BA yenyewe ni nzuri sana, si kama wengine wanavyoichafua hapa.
 
naomba radhi sana, it was oversight.

Nime-counter check nimeona ni kweli ana ba tu.

Angalizo: Ba yenyewe ni nzuri sana, si kama wengine wanavyoichafua hapa.
tunaomba kauli yako kwa ccm na jk kuhusu mabadiliko ya katiba na tume huru ya uchaguzi?
 
wapo ambao wamenunuliwa kudistract attention ya wachingiaji kutoka kwenye hoja za msingi za mabadiliko ya katiba na tume huru ya uchaguzi na kila mara wanatuletea upuuzi wao wa zitto. Huyo zitto baadhi tunao uwezo wa kumzaa tukiwa tunapiga push upp!!!!!

Watu wanafika hatua yab kuchukua mapicha ya zamani ya safari za zitto na kutuletea ili mradi kuvuruga majadala, si vibaraka tu hao.

Tembelea Michuzi blog ujiridhishe kuwa ni habari mpya.
 
thank you for that,by tha way no research no right to speak,well me sijui alipata GPA ya ngapi,iyo 2.0 nimeisikia humu humu JF
 
Naomba radhi sana, it was oversight.

Nime-counter check nimeona ni kweli ana BA tu.

Angalizo: BA yenyewe ni nzuri sana, si kama wengine wanavyoichafua hapa.

Kiwete cheti chake ni aibu tupu kina makalai tu! 2.0 GPA
 
Mnaomsifia Zito hamjui mnachosifia. Ni busara ipi na usomi upi wa Zito?

Watz tumezoe sana kufuata mkumbo. Kama kuna mtu hana busara na asiyezifahamu vizuri sheria za Bunge ni pamoja na Zito. Kitendo cha Zito kutoingia Bungeni siku CDM walipotoka nje lilikuwa ni kosa kwa mujibu wa kanuni za Bunge. Je kuna busara gani alizoonyesha Zito na wanzake ambao hawakufika Bungeni?

Tatizo la Zito ni kujaa sifa na kudhani kuwa anakubalika kuliko mtu mwingine yeyote kwa upande wa upinzani. Shida ni ambition yake ya kutaka kugombea urais 2015 ndio zinamfanya ahangaike nakufikiri kuwa CDM ni yeye peke yake!

Pamoja na mambo mengine ushauri wangu kwa Zito ni kuwa kama anaona anabanwa CDM ahame haraka tu iwezekanvyo. Tunapozunguzia demokrasia tunazungumzia maoni huru ya wengi na siyo anachotaka mtu au watu wachache ndio kiwe.
 
JK kamaliza masters yake kweupee pale Mlimani. Si kama online/distant degrees feki za M/Kiti wako.
Mambo mengine tusijadili kwa ushabiki au kujipendekeza! Nina imani hata JK mwenyewe anawachukia sana watu kama Kishongo mnao msingizia habari za uongo. JK ana shahada ya kwanza ya Agricultural Economics aliyo tunukiwa UDSM mwaka 1975 na degree za heshima tu, hana masters!! Watu kama nyie ndio mnao mharibia kwa kujipendekeza kwenu!! Kuweni wakweli kwenye facts za mtu!!
 
Sorry Kishongo kumbe ulish-apologize kuwa Kikwete ana BA tu. Huo ndio uungwana mkuu!!
 
Mimi hizo chokochoko sizipendi. Tunahamishwa kuzungumzia issues tunazungumzia watu. Na wenye mchezo huu ni hao hao kila siku. Greater thinkers thik about issues, feeble minds think about people because of infiriority complex. Hii forum naomba ijikite kwenye issues. Mimi I take it seriously as an attack to the integrity of the forum. I am fed up with these craps
 
nadhani huna rekodi ya mambo, huna tofauri na mwandishi mmoja wa gazeti la rai mwaka 2005 aliyesema mbowe hana sifa ya kuwa rais kwa kuwa hajawahi kuwa hata kiongozi wa nyumba kumi. asijue kuwa alikuwa mbunge wa hai mwaka 2000-2005. unamaanisha nini unaposema ana elimu ndogo, ile aliyokuwa akisoma uingereza ilikuwa elimu ndogo? je wazijua kanuni za mabunge ya westminster? nina jua wewe ni mwana CCM kanzu kama Zito ndiyo maana unaongea mambo usiyoyafahamu. sh..........zi
maana ya kuwepo jamii forum si kwamba upost kila ujinga unaofikiria. "fikiri kabla ya kutenda"
je viongozi vipofu ni akina nani, elimu yake ya shahada ya kwanza ni ndogo. ongeza uwezo wako wa kufikiria
 
chizi kweli? jk kamaliza master gani? Ud,au GENTLEMAN leo imekuwa master? kama hujui usidanganye watanzania hakuna watoto wenzio hapa.labda ana master ya madrasa.
 
Wote tulifurahia na kukiri uwezo wa aliyekuwa Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni katika Bunge la tisa.

Bahati mbaya Bunge la kumi halina mtu mwenye uwezo kama wake. Aliyepo amejibebesha mzigo ambao hana uwezo wa kuubeba. Atashindwa kabla hata ya kuanza kutokana na sababu kuu mbili:

1. Elimu yake ndogo na pia hana uzoefu wa mikikimikiki ya kisiasa. .... Itakuwa shida/aibu atakapokutana na International counterparts wake.

2. Amezungukwa na viongozi wenzake pamoja na washauri wasanii. Mara nyingi maamuzi yake hutokana na ushauri potofu unaotolewa na wafuasi wake kwenye hii forum.

Nafasi ile ilikuwa ya Mhe Zito, ana sifa zote.

Lakini tufanyeje....Hizi ndio siasa za Chadema wandugu.

Hiyo ndio chadema, udini ,ukabila na udugu umewajaa. haya wakaskaziiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
JK kamaliza masters yake kweupee pale Mlimani. Si kama online/distant degrees feki za M/Kiti wako.

Ukishapata PASS hakuna maksi tena...subiri vyeo vya kuhonga kutoka Kenya.. Maana kule hela yako tuu cheo hicho JK alilijua kabla
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom