Kiongozi wa CHADEMA mahakamani kwa kuwapiga wauguzi

Haki Yetu

Senior Member
Apr 28, 2011
162
43
Wanajamvi oneni habari zinazoripotiwa na magazeti yetu kwa nia ya kuwapa habari watanzania

"Polisi Dar es Salaam wamemkamata na kumfikisha mahakamani, mwenyekiti wa mtaa wa Yangeyange kata ya Msongola, Ilala Collman Marwa kwa tuhuma za kumjeruhi kwa kumpiga, muuguzi wa Zahanati ya Msongola.

Mwenyekiti huyo aliyeingia madarakani kupitia Chadema, pia anadaiwa kuwapiga wauguzi wengine sita wa zahanati hiyo."

source: Mwananchi, 1 Jun, 2011
 
mbona ipo personal sana hii,CDM wanazungumzia issues...:grouphug::grouphug::grouphug:....RIP magamba
 
magamba aka wauza mihadarati waliokubuhu......... huyo mwandishi wa hiyo habari anatakiwa akaiweke kwenye magazeti ya udaku..
 
Back
Top Bottom