Kiongozi Msafi wa Africa na Aseme - Mugabe

Huyo jamaa anajua most of African leaders are corrupt through western bourgeoisie policies that are being dictated through media propaganda and bretton woods and Paris Club incentives. Ukianzia Rwanda,Uganda,Ethiopia,Kenya,DRC wote hao ni blood kasoro TZ hatuna hiyo sifa lakini kwa ufisadi ndio wenyewe as a result of that ukijaribu kutafuta chanzo utawakuta ni hao hao. Saudi Arabia mambo ni hayo hayo nakumbuka katuni moja ya Gado alishawahi kuitoa akitofautisha viongozi hao wawili ambao hawana sifa tofauti Saudi na Zimbabwe namna alivyokuwa akiambiwa mfalme wa Saudi ilikuwa kana kwamba akibembelezwa ila kwa Jongwe ni pamoja na vipaza sauti kaekewa masikioni mwake.
Its high time for African leaders to face that challenge especially from Mr Mugabe a well known comrade who now become dictator .Naona muda wake umekwisha kisiasa
 
Jamaa kawabana mbavu kishenzi, kabla hawajamuondoa inabidi wajisafishe! tatizo ni kuwa wananchi ndio wanakufa.
 
Kulinga na taharifa ya habari ya BBC leo asubuhi, kiongozi wa alijitangazia ushindi katika kura ambayo imekuwa ni aibu kwa africa Robert Mugabe amesema kiongozi yeyote aliye msafi africa na amwambie kuwa hajashinda kihalali ili na yeye amuulize kwake yeye alishinda kihalali au alishinda kwa njia gani.

Alisema maneno hayo jana baada ya kuapishwa kuwa raisi wa zimbabwe kwa kipindi kingine kwa madai ya ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi wa upande mmoja baada ya mpinzani wake Morgan shivangarai kujitoa kwa madai ya serikali na vikundi vya siri vya raisi Mugabe kushambulia watu wanaosuport upinzani.

Alichosema ni ukweli. Labda SA tu ndio japo wanaweza kusema chaguzi zake ni huru. Hawa wengine wakiwemo akina Kikwete ni yale yale tu ya ujambazi na uvibaka wa kura.
 
hivi ikiwa kweli duniani kuna viongozi kwa kuvunja kanuni za demokrasia hii inamaanisha zimbabwe na na babu waachiwe wavunje kanuni ?

hapa panahitaji papigwe tochi
 
Mugabe tatizo sio kuingia madarakani kihalali, tatizo ni wewe hauko tayari kutoa tax holiday kwa 'wawekezaji', tatizo lako hauko tayari kuingia mikataba ya Buzwagi, tatizo lako hauko tayari kutengenezewa marafiki wa dizaini ya Sinclair, tatizo lako hauko tayari kuruhsu mapesa ya EPA kuwekezwa kwenye mabenki ya 'wafadhili', tatizo lako hauko tayari kumwakikishia mkoloni access ya ulaji kama madikteta wenzio wanavyofanya. Rudi nyuma anza kugawa ardhi, machimbo ya madini na mashirika kwa 'wawekezaji' harafu usikie kama kutakuwa na kelele za human rights au democracy.

ulikuwa wapi.....?
hii inanikumbusha kitabu cha A'level a death of a salesman...!
dr. Stockman aliona society imeoza hivyo inahitaji ifumuliwe yote (REVOLUTION)(refer signature)
 
penye ukweli na pasemeke.tumemsema Mugabe mno no kiweli njia aliyojipatia ushindi siyo ya kihalali lakini ni nani Afrika ameingia fairly?Umwagaji damu mwingi na wizi wa kupindukia.Penye ukweli uongo hujitenga.

This is besides the point and every sensible person should be outraged by this insult.It is true nobody is perfect, but that should not justify mayhem, two wrongs do not make a right and this obvious attempt at distortion and blatant spin is not convincing me.

Mugabe is a disgrace that should be hemorrhaged.
 
Hivi bado kuna watu (humu jamvini) wanamtizamo wa ki-Mugabe! Mugabe ni dikteta, na ukitaka kuthibitisha hilo kwanza angalia uchumi wa nchi yake! wakati waTanzania wanalia kwa inflation rate ya 9%, waZimbabwe wanazungumzia inflation rate ya 2,000,000%. Kila kukicha bei ni mpya madukani, ni mwananchi gani anaweza kuishi katika hali hiyo!!

Siku zote nguvu ya "dikteta" ni jeshi, basi ujue Zimbabwe ofisi zote vyeti za serikali zinaongozwa na wanajeshi (likiwemo shirika la ndege, usafiri wa reli, habari TV na radio!). Mugabe anasema hawezi kukabidhi ofisi vyeti kwa raia wa kawaida, kwani wanania ya kumwangusha!

Kwa mtu yeyote mwenye ufahamu wa Zimbabwe ya jana na ya leo, hawezi kumpigia chapuo Robert Gabriel Mugabe!!
 
Huyu mzee anajua viongozi wote wa Africa hakuna aliyeingia kwa ridhaa ya wananchi ndo maana anawambia msafi na aseme, ndo maana nimesema kama waliandaa agenda inayohusu zimbabwe hawataiongea kwani wote wanajua hakuna hata mmoja atayeweza kusimama mbele ya mzee na kumweleza kuwa amefanya makosa wakati yeye yakwakwe bado yanalindima.

Two wrongs don't make one right! Mugabe ni fisadi, dikteta, mwuuaji! He has to go na on top of that AMEIBA KURA!!!!!!!! HE HAS TO GO!!!!!!! And in fact he should be tried and shot like Ceaucescu! Kumbukeni naye alikuwa 80 something na fisadi mkubwa na mke wake! Mugabe's days are numbered!
 
Kabla Hujampeleka Kikwete Kwenda Kumtoa Huko...peleka Matako Yako Yakachanjwe Ondoa Ushetani Wa Kuuza Bara Hapa!
Na Nimeshagundua Kuwa Ni Kweli Nyie Pumbavu Mliuza Mababu Zetu!
Na I Swear To God!
Since My Grand And Grand Parents Fought So Hard For Afrika...i Will Never Let Them Down!
God Willing!
 
Two wrongs don't make one right! Mugabe ni fisadi, dikteta, mwuuaji! He has to go na on top of that AMEIBA KURA!!!!!!!! HE HAS TO GO!!!!!!! And in fact he should be tried and shot like Ceaucescu! Kumbukeni naye alikuwa 80 something na fisadi mkubwa na mke wake! Mugabe's days are numbered!

Quote fro BBC (http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/7481857.stm)

President Jakaya Kikwete of Tanzania, the African Union chairman, pointedly congratulated the people of Zimbabwe over the election, but not Mr Mugabe himself.

Africa's longest serving leader, Gabon President Omar Bongo, has given the strongest suggestion of recognising Mr Mugabe as president, saying "he was elected, he took an oath, and he is here with us, so he is president".
 
KENYA KUPITIA WAZIRI MKUU RAILA ODINGA WAMEKUWA WAKWANZA KUSEMA MGABE ASITAMBULIWE


Kenya urges AU to suspend Mugabe

Raila Odinga calls for Robert Mugabe's suspension

Kenyan Prime Minister Raila Odinga has urged the African Union to suspend Zimbabwe's Robert Mugabe until he allows free and fair elections.

The call came as Zimbabwe's Movement for Democratic Change (MDC) opposition said the country faced a constitutional crisis.

The situation in Zimbabwe overshadowed the African Union summit in Egypt.

Correspondents say the AU's response to the crisis will be a major test of the bloc's effectiveness.

Mr Mugabe claimed a landslide victory as the sole candidate in the presidential election re-run after the MDC's leader, Morgan Tsvangirai, withdrew.


I would expect them to have very, very strong words for [Mr Mugabe]
Jendayi Frazer
US Assistant Secretary of State for Africa

African leaders' discomfort
Zimbabwe: Possible scenarios
Inside Mugabe's mind

But African observers said the election had been undermined by pre-poll violence.

Speaking to reporters in Nairobi, Mr Odinga said: "They should suspend him and send peace forces to Zimbabwe to ensure free and fair elections."

Mr Odinga, a vocal critic of Mr Mugabe, says the AU would set a dangerous precedent by accepting him as "a duly elected president".

The UN has urged African leaders to try to negotiate a solution to the Zimbabwe's crisis.

Some analysts have pointed to Kenya as an example of how it could be resolved.

Mr Odinga was named prime minister as part of a power-sharing deal to end political violence in which some 1,500 people were killed, many in ethnic clashes.

No talks

The MDC says the way forward in Zimbabwe must reflect the outcome of the first round of voting in March, when Mr Tsvangirai won more votes than President Mugabe.

ZIMBABWE AND ITS NEIGHBOURS
info-graphic

Zimbabwe's opposition wants neighbouring countries to persuade Robert Mugabe to step down. So how are relations changing?
info-graphic

South Africa's Thabo Mbeki is the key mediator. He has not criticised Robert Mugabe, despite pressure from the ruling ANC.
info-graphic

Zambian President Levy Mwanawasa has taken the toughest line. He's called Zimbabwe a "regional embarrassment".
info-graphic

Angola's President Jose Eduardo dos Santos is one of Robert Mugabe's closest allies. He has urged Mr Mugabe to end the violence.
info-graphic

Botswana has summoned a Zimbabwean envoy to complain about the violence. It has supported Zimbabwe's opposition.
info-graphic

Namibia is an ally of Robert Mugabe. It wants to re-distribute white-owned farms to black villagers. It has not criticised the violence.
info-graphic

Mozambique has hosted some white farmers forced out of Zimbabwe when their land was seized. It is seen as sympathetic to the opposition.
info-graphic

Tanzania's ruling party has a history of backing Robert Mugabe's Zanu-PF party. Its foreign minister has condemned the violence.
info-graphic

DR Congo's President Joseph Kabila is an ally of Robert Mugabe who sent troops to help his father, Laurent Kabila, fight rebels.
info-graphic

Malawi is seen as neutral. But 3m people from Malawi are in Zimbabwe and many were badly hit by the farm invasions.
BACK
NEXT
1 of 10

The opposition is prepared to take part in a transitional arrangement or a government of national unity, but it says there are no negotiations currently under way between Mr Tsvangirai and the ruling Zanu-PF party.

The MDC is asking the AU to appoint three eminent African envoys to work full time on the crisis.

Few African leaders have spoken out about the election result while AU discussions continue.

The South African presidency said it would consider reports from election observers together with other members of the Southern African Development Community (Sadc) before adopting a unified position regarding the result.

President Jakaya Kikwete of Tanzania, the African Union chairman, pointedly congratulated the people of Zimbabwe over the election, but not Mr Mugabe himself.

Africa's longest serving leader, Gabon President Omar Bongo, has given the strongest suggestion of recognising Mr Mugabe as president, saying "he was elected, he took an oath, and he is here with us, so he is president".

US Assistant Secretary of State for Africa Jendayi Frazer said she expected African leaders to take a harder line with Mr Mugabe behind closed doors.

"I would suggest not to take the soft words of the opening plenary as a reflection of the deep concern of the leaders here for the situation in Zimbabwe," she said.

"I would expect them to have very, very strong words for him."

The BBC's southern Africa correspondent Peter Biles says that apart from the recent political violence in Zimbabwe, there is continuing economic hardship, with inflation in the region of nine million per cent and the country heading for the worst harvest in 60 years.

link: http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/7481857.stm
 
Mimi nikisema Waafrika Ndivyo Tulivyo naambiwa nina inferiority complex. Hivi huyo waziri wa mambo ya nje ya Kenya yeye ana haki gani ya kuhoji uchaguzi wa Zimbabwe? Kama Mugabe asitambuliwe then Kenya (Kibaki) should be held to the same standard......
 
Ila Comrage Mugabe ni Kamanda. Tuache yote, muhimu kamaliza jeuri ya wazungu!!!!!

Njaa, dhiki na hiyo inflation rate yenu ya 2,000,000% ni ya wazungu wala si mugabe. Yale mazungu yaliyonyang'anywa ardhi yamegoma kuzalisha, yamefunga viwanda na huku wajomba zao wa yuropa na marekani wakihimiza vikwazo. Ni upumbavu tupu, kudhani mugabe ndie anaeleta shida Zimbabwe!!!!! Ameongoza tokea 1980, Zimbabwe ilikuwa safi, uchumi bomba. Leo kaleta haki HAFAI!!!!

Ni ukoloni na utumwa. Kwamba mzungu amiliki ardhi, Mshona kibarua!!!!! Kinyume chake, Mugabe fashisti, dikteta, muuaji etc etc!!!!

Kweli mugabe amechoka, na ingekuwa busara apumzike, ila si kwa staili wanayotaka wazungu. Kama kweli wazungu wanataka demokrasia, mbona hawajaitambua HAMMAS palestine????

Kaza buti babaa!!!!
 
kwa kusema ukweli no other afrikan presido has balls like bob mugabe. this bro can't be bought with wazungu kama maraisi wengine kama vasco da gama wetu. stand ur ground!!!
 
ila Comrage Mugabe Ni Kamanda. Tuache Yote, Muhimu Kamaliza Jeuri Ya Wazungu!!!!!

Njaa, Dhiki Na Hiyo Inflation Rate Yenu Ya 2,000,000% Ni Ya Wazungu Wala Si Mugabe. Yale Mazungu Yaliyonyang'anywa Ardhi Yamegoma Kuzalisha, Yamefunga Viwanda Na Huku Wajomba Zao Wa Yuropa Na Marekani Wakihimiza Vikwazo. Ni Upumbavu Tupu, Kudhani Mugabe Ndie Anaeleta Shida Zimbabwe!!!!! Ameongoza Tokea 1980, Zimbabwe Ilikuwa Safi, Uchumi Bomba. Leo Kaleta Haki Hafai!!!!

Ni Ukoloni Na Utumwa. Kwamba Mzungu Amiliki Ardhi, Mshona Kibarua!!!!! Kinyume Chake, Mugabe Fashisti, Dikteta, Muuaji Etc Etc!!!!

Kweli Mugabe Amechoka, Na Ingekuwa Busara Apumzike, Ila Si Kwa Staili Wanayotaka Wazungu. Kama Kweli Wazungu Wanataka Demokrasia, Mbona Hawajaitambua Hammas Palestine????

Kaza Buti Babaa!!!!

Now I Try To Add In My List Real Africans Who Can Shout amandlaaaaaa...!
 
NYANI NGABU your signature/slogan is too generalising....! but on what you contributed above (RAILA HANA LOLOTE ANATAKA IFANYIKE NA KENYA) IS that even KENYA walifanya mambo kama haya( LAKINI HAIKUWA KATIKA KETETEA ARDHI TOKA KWA WAZUNGU)
 
Mugabe alikuwa anawasubiri watamke kuwa hawamtambui kama raisi wa zimbabwe wakione cha moto, ila na wao wameuona huo mtego na ndo maana wamemkubali kama mmoja wao na kumakribisha. Upinzani usubiri mpaka akifa ndo utapata madaraka na sio akiwa hai.
 
Mugabe alikuwa anawasubiri watamke kuwa hawamtambui kama raisi wa zimbabwe wakione cha moto, ila na wao wameuona huo mtego na ndo maana wamemkubali kama mmoja wao na kumakribisha. Upinzani usubiri mpaka akifa ndo utapata madaraka na sio akiwa hai.

Kuna mail moja jamaa kaniforwadia, mwandishi yuko kwenye dilemma na issue ya Mugabe, which in a way I share with and probably most of African leaders.

Check out this;

MUGABE: MY DILEMMA
To express my dilemma on Mugabe I will use a hypothetical scenario. Let us assume (as economists are known for) that President Kikwete decided to be tough and play hard ball on corruption and on matters of national economy and national pride. He starts by securing all sources of energy, and by borrowing a leaf from Putin, he locks in the Chief Executive Officer of IPTL for tax fraud, and demand that owners of IPTL sell the company to the government at a token price after obtaining evidence that the IPTL-TANESCO deal was influenced by corruption.

Further, after obtaining convincing evidences that most of mining companies have been cheating on tax through over-invoicing capital imports and under-invoicing exports, Kikwete orders an arrest of all chief executive officers of the concerned mining companies, and place them in remand at Ukonga pending final investigation and prosecution. Most of the arrested officers are Canadians and Australians. Meanwhile, two marine officers from the UK are arrested for killing a prostitute at Silversand Beach Hotel, and the President insists that the Marines must be treated like any other suspect in the murder case, and thus must stay at Ukonga Prison pending investigation and prosecution. Tanzanian High Commissioner in London has been recalled home for talk after the government discovered that Her Majesty's government knew all along that the Radar sold to Tanzania by the company owned by Her Majesty's government was exorbitantly over-priced, and thus cheating poor Tanzania of her very scarce foreign currency. Meanwhile, an officer representative of the company that sold TPDF faulty helicopters that lead to death of members of TPDF has been arrested for fraud, and has been placed in Ukonga pending further investigation. The US government has strongly protested against this arrest, but President Kikwete refused to play ball, insisting that men in uniform have died and the law of the land must take its course regardless of the nationality of the suspect.

Ok, enough of the fantasy. Our government would not do such things, even though European and American governments would not hesitate to take such actions themselves. A member of TPDF cannot kill a prostitute in London and get away with it. No way. And so on. But the Government of the United Republic of Tanzania cannot do what a self respecting government must do for the simple reason that the "international community" would not accept this. Hugo Chaves managed because he sits on a huge reserve of oil. Castro managed to do it because he does not allow free and fair election. Should our government try to play hardball, all foreign aid would be squeezed, all credit lines cut and the country would be demonized by the CNN, the BBC and, well, by the Security Council of the UN. All of a sudden the "international community" would remember that Karume did not win a fair election in Zanzibar. And that in 1995 election officers forgot to turn up at the polling stations in Dar es Salaam. They forgot to turn up in Zanzibar town in 2000 general election too. The "international community" would want Mahita to appear in the Hague for the death of 23 people in Pemba. The EPA and RICHMOD sagas would be played time and again on the CNN and the BBC and the SKY and the El Jazeera and the SABC for the world to see how comical our leaders can get when trying not to prosecute looters of public funds, a comedy that would make Mobutu Sese Seso green with envy. You should not even be surprised that the "international community" would condemn Tanzania for interfering in the internal affairs of the Comoro, never mind that the government of Comoro invited Tanzania to interfere and the AU sanction the expedition. After all, when Mugabe sent troops to protect Kabila's administration against the invasion of Uganda and Rwanda, it was Mugabe who was condemned by the "international community", not the invaders! Mind you, Mugabe was acting under the SADC, and he was not even alone, Angola and Namibia were in Kinshasa too.
So, should our President play hardball, the "international community" would see to it that our economy takes a huge nose dive, a free fall, with hyperinflation becoming the order of the day. The pay of professors would mean nothing, as you would then need a wheel-burrow full of money to simply buy a kilogram of sugar. Professor Lipumba and Mr. Mbowe would be invited to the Buckingham Palace and the White House and consultants would be offered to advice CHADEMA and CUF on how to unite so that they can unseat Kikwete. NGOs would be given plenty of money to undermine the government, just to teach us and everybody else a lesson that you never mess up with the big brothers.

Come 2010 the "international community" would demand free and fair election in Tanzania. Most of us would be voting with our stomachs, too tired of hyperinflation to remember that we had pressed Kikwete to act against the mining companies and against corruption. We would be scrambling to help the West make a "regime change" democratically. The election would be declared free and fair only if Lipumba wins.

Again, enough of the fantasy. As I said, this would never happen here. But it seems to me that it is happening in Zimbabwe. This is not to say that Mugabe is not stealing an election. Obasanjo too stole an election for Y'radua (do you remember how Obasanjo and his VP used to fight like mad cats? Oh, how would the "international community" have loved it had it been Mugabe and his VP were giving such a comedy). Kibaki, just next door, stole one too, and the "international community" told the victim of stolen election to negotiate with the one who stole it, and divide the "loot". We know what Museveni is doing in Uganda, and that he survives on western handout in spite of all! The only reason that the "international community" is focusing on Mugabe is because he messed up with the big brothers. And he stole an election, of course. Why is it that Musharraff forced his way into Pakistani's statehouse and he is still respected in the West? Do you remember how he interfered with the judicial system?

My dilemma is, how can one condemn Mugabe without at the sametime greasing the Western machinations? And, are the people of Zimbabwe not free to even vote with their stomach? When we were fighting for Uhuru, Nyerere insisted that we want freedom, even of making our own mistakes. If Zimbabweans make a "mistake" of voting against Mugabe, forgetting that the economy would not have been in such a mess had it not been for the western embargo and sabotage who are we to tell Zimbabweans that vumilieni tuu, mbegu lazima ife kwanza kabla mti wa uhuru haujaota? Yet, I cannot bring myself to condemn Mugabe, even though I believe he stole this election. I made a mistake of celebrating Chiluba's victory back then, thinking it heralded a new democratic dispensation in Africa. Later, I discovered that Chiluba was actually bankrolled by the Boers who wanted to undermine ANC in Lusaka.

So, it is a dilemna. When I hear African leaders making statements about Mugabe, I do not know which part of the statememt was dictated from the Down Street No 10 and which part reflects our desire for a free and fair election. A desire for free and fair election can only be noble. But there is no nobility in becoming a pawn in other nations' games. I respect those who genuinely grieves the people of Zimbabwe and call for free and fair election. As for me, I am fed up with the Western machinations on the question of Mugabe, and I choose not to condemn him for stealing this election, and I am not proud of my stand either.
 
Back
Top Bottom