Kiongozi mku wa nchi ni left handed au?

kuberwa

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
570
125
Hope mmekuwa na mapumziko mema! Hoja yangu kwa leo ni kuhusu kiongozi wa nchi yetu na mkono wa kushoto. Nimekuwa nikimshuhudia mara kadhaa raisi wa nchi yetu akiwapungia wananchi wake kwa kuanza mkono wa kushoto! Mara ya kwanza nlikuwa nkihisi kajisahau lakini baada ya kufanya uchunguzi kwa muda mrefu nimegundua ni makusudi tu, make si hali ya kawaida katka maadili ya watz ni ishara ya dharau. Naombeni wana jamii mnijuze kama Raisi anatudharau au amepewa miiko kuwa always atupungie mkono huu mbaya... Natoa hoja wenzangu Asanteni kwa jadili hili kwa hekima bila ugomvi
 
Jamani hata hii nayo ni issue? Mwenyezi Mungu ameumba mikono yote miwili sawasawa - wa kushoto na kulia. Wengine ni rahisi zaidi kutumia wa kulia na wengine ni wa kushoto, na hata kwenue uandishi ndiyo hivyo hivyo.

Sasa nini tena cha ajabu?
 
Back
Top Bottom