Kioja kikuu Bungeni leo!!

Hao ndo wale wa aina ya wabunge wanaosema naunga mkono hoja hata hajui ni nini kimezungumzwa
 
Chadema eee....kisha Kitila aseme model yake ya uchaguzi ilikuwa bora wakati waliochaguliwa ni hopeless

Huyu dada kiukweli alibore sana, halafu hajiamini, kila maneno 2 akisema anamtaja Mh Spika...nadhani hapa CHADEMA wamechemsha kwa huyu dada!! Bora hata akina Rozi Kamili na Suzan Lyimo wakisimama, spika kiroho juu!!
 
Hao wabunge wa ccmagamba mbona wengi wako kwenye kipindi gani kile? .....wamerudi kuwa watoto,ni hadithi hadithi kwenda mbele na sasa saa yakwenda kwetu tutaonana keshooooooo!Hilo tu ndilo walilokalia bungeni akili zimechoka hawawezi kusoma hata alama.
Mkuu hicho kipindi kinachowakumba magamba ni Midlife Crisis.....
 
CCM huko nani mzima ? Maana hata hao wasomi ama hawasemi wao ni kuangalia mkate wao tu au watashiriki uozo fulani na si kuwatetea wananchi wao .CCM kuna nini lakini ?
 
Kati wabunge wa CCM waliochangia leo asubuhi nimependa mchango wa mbunge wa Kalenga,anaitwa William Mgimwa nadhani. Anaonekana ana upeo wa juu wa mambo ya uchumi na utawala
 
Huyo gf wake nasikia waligombana baada ya kupandishwa cheo na mshahara
 
Sasa kwanini mtu wa namna hiyo asiunge mkono kwa asilimia 100 kila kitu?
Tunategemea jipya gani kutoka kwa mtu anayeunga mkono ulalaji Bungeni?


Ndio, hawa mimi sijui wameingiaje bungeni, hizi kanga na kofia na fulana zinatuponza.
 
Walipewa semina elekezi, wakiwa bungeni waongee hivi wanavyoviongea.
Wanafanya kazi ya kuwawakilisha wananchi chini ya mwamvuli wa utawala na uongozi wa KIIMLA.
 
mbunge wa kisarawe amemsifia JK eti ni mchapa kazi sana jana alikuwa kigoma kwenye miradi ya maendeleo na kwamba safari zake za nje zinamanufaa nchi kama zile alizokuwa akifanya marehemu mtume mohammad
 
Akili yangu inanikumbusha kuwa mwaka 1970, sidhani kama kima cha chini, kilifikia hiyo 1,200,labda kama alikuwa daraja tofauti! Nakumbuka nilipoanza kazi kwenye shirika la posta na simu mwaka 1985, KCC ilikuwa shilingi 800/= na mimi daraja nililoanzia baada ya makato nilikuwa naondoka nyumbani na sh. 1,800/=!
 
Hivi ngoja niulize...wabunge wengi(wote) CCM wanaikubali bajeti za wizara 100%, lakini hoja zao zinatoa kasoro nyingi hoja wanazozikubali asilimia mia!! hii mbona siielewi?? Huyo Maji Marefu kamwaga pumba kuisifia wizara ya utumishi wa umma badae anatoa kashfa na kudai ndio uongozi gani huu??sasa hii mi siielewi, nahiso kama hawajielewi wanapoongea!!
Hivi huyo Maji Marefu alikuwa anafanyakazi gani ikulu alpokuwa anatetea safari za JK, alisema mh nmesafiri nae sana.
 
Back
Top Bottom