Ambassador
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 933
- 75
Kama wiki tatu zilizopita nilikuta taarifa ya habari za biashara ya TBC ya saa 2 usiku inaishia. Kuna kinywaji kipya kinachotumia maziwa na vanilla ambacho kilikuwa kimezinduliwa, ila sikuweza kunote ni kinywaji gani na kimezinduliwa na kampuni gani. Ninachokumbuka tarifa ilisema kinywaji hicho kinatumia vanilla toka Uganda. Kama kuna yeyote mwenye taarifa zaidi kuhusu kinywaji hicho naomba anifahamishe.