Kinywaji gani hiki wakuu?

Huyu sio Shangazi wa mkuranga, yeye na style ya chupa ya mnazi lazima uimalize
 
Ha haa haa! Ukimaliza kunywa, chupa inaoshwa hapo hapo ziwani, kinajazwa kinywaji kingine kwa ajili ya wateja wengine!
 
bwagamoyo.jpg


BTW: Ni Bagamoyo hapa

Nafikiri ni Teachers kutoka India.

BTW huyu mama amekonda jamani maisha magumu then hawa PPFFff's kazi yao ni kugawana mamillion .... .... ... kweli M k w e r e katu k w e r e t a. Na bado hajashiba tu na rafiki zake Sin Bin Clair et al.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom