mabhuimerafulu
Member
- May 29, 2012
- 89
- 38
Kuhusu huu muungano sina maoni yoyote hadi Zanzibar watakapojitoa!
Uhalali wa kutoka kwenye makabrasha ya CIA? tuoneshe uhalali wa kutoka Serikali ya Zanzibar na Tanganyika.
Kama hauna, kaa kimya. Unajuwa sana kuwa huu ni muungano ulioshadidiwa na Nyerere kwa sababu ya kueneza Ukatoliki Zanzibar.
Mzee Mwanakijiji, nakuheshimu sana, kuniina mimi nilichoandika kuwa hakukufanyika any "ratification" ni ubunifu tuu wa fikra zangu, sio kunitendea haki, ila nakuuliza hicho walichoandika hao majasusi unao washadidia, ndio ratification?.nimeisoma na haina msingi wa historia; yote anayoyasema ni kweli lakini ana assume (kwa makosa makubwa) chombo halali cha Wazanzibar wakati ule hakikuridhia Muungano. Halafu inaonekana umesoma alichoandika Pasco kana kwamba ndivyo ilivyotokea (as historical fact) wakati alichoandika ni ubunifu tu wa fikra zake.
mzee mwanakijiji, nakuheshimu sana, kuniina mimi nilichoandika kuwa hakukufanyika any "ratification" ni ubunifu tuu wa fikra zangu, sio kunitendea haki, ila nakuuliza hicho walichoandika hao majasusi unao washadidia, ndio ratification?.
Kama ningekuwa mmilki wa Jamii forum ningetaka kila mtu ajiunge kwa jina lake kama ailivyofanya Mechard Rwizile na Pasco. Ni vizuri watu wakafahamika kwa majina yao na sura halisi ili thamani ya michango yao iongezeke. Wachangiaji wengi wanapotosha wenzao, wanasema uongo, wanaeneza chuki na wanatetea maslahi binafsi. Na wakati mwingine wanaeneza ujinga tu kwa kuleta hoja zisizo na mashiko. Kwani kanisa la kwanza Zanzibar lilijengwa na Nyerere?.
Kinachotakiwa hapa ni kueleza sababu za kiuchumi na kijamii za kuvunja muungano. Nina uhakika wa kutosha wazanzibar wasiotaka kutawalia na Sultan wa Oman hawatakuwa salama muungano ukivunjika, nina uhakika wa Zanzibar wasiokuwa wakristu hawatakuwa salama muungano ukivunjika, nina uhakika wanzibar wanaotaka muungano hawatakuwa salama muungano ukivunjika. Nusu ya umaskini tulionao haitapungua kwa kuvunjika Muungano. Baya zaidi, sisi tunaoshabikia kuvunjika kwa Muungano hatutakuwepo miaka 100 ijayo. Kwanini tufanye maamuzi kwa jaziba? kwa nini tufanye mambo kwa ubinafsi wetu?
Hakuna atakaye fadhaika kwa kulinda, kutetea na kuimarisha muungano hata miaka 200 ijayo. Tupambane na ufisadi, uongo, ubinafsi na ukandamizaji wa aina yeyote kwa kila binadamu. Awe mke wako, mtoto wako, jirani yako,mkristu, mwislam na asiye na dini. Kubwa tudumishe ubinadamu kwa gharama yeyote.
Mkuu Mag3, Pasco is yes indeed, blood hell, opportunist anaetumika kwa malengo anayoyajua yeye!, kaeni sana chonjo na mimi!.Pasco? Who the bloody hell is Pasco? Jamani tuache utani na watu kama Pasco tukae nao chonjo kweli kweli, ni opportunist anaetumika tu kwa malengo anayoyajua yeye..
Mkuu Shedafa, usemayo ni kweli, kiwenye hili la "to let them go", mimi na Mzee Mwanakijiji we sail the same boat, ila mimi nimekwenda mbali zaidi, nimesema kuondoka kwenye muungano honourably bila kokoro wala makeke, ni kwa Zanzibar kusisitiza kufuatwa kwa matakwa yote ya zile 'articles of union" kwa hoja kuwa kwa vile ile 1964, hakukufanyika any ratification, hiyo process ya ratification ifanyike sasa na badalaali ya kuukataa BLW wasifanye ratification na process ya kuuvunja kwa amani ifuate, sababu ya msingi ikiwa ni ukiukwaji wa taratibu sheria na kanuni, mlango wao kisheria uko wazi with no regret!.Mkuu Pasco!
Lets assume unayosema ni kweli, kwamba Muungano uliridhiwa na upande mmoja na haukufanywa kwa maandishi so what?
Hawa jamaa wameisha sema wanataka nchi yao, sisi tunaelekeza nguvu kwenye kasoro!, si tunapoteza muda ndugu yangu?
Ingelikuwa na maana kama kikwazo kingelikuwa ni kasoro tu kwani zinarekebishika!, jamaa wanataka nchi yao. Wamesema wazi bila ya kigugumizi, kwao hizi kasoro wanazitumia kama daraja tu, lakini wanachotaka kiko wazi. Zote ulizohorodhesha ni kasoro, na inawezekana zikawepo nyingi zaidi. Kama zilikuwa za makusudi au bahati mbaya haziufanyi muungano kuwa mbaya, muungano uwe wa aina yoyote ile ni kitu kizuri na unaleta mazuri kwa mwanadamu. Katika muungano wowote ule kitu chema ni kuangalia mapungufu na kujitahidi kuyarekebisha, hapa picha iliyowazi ni kuwa yanayotakiwa si marekebisho. Mshiriki mmoja wa muungano anataka kuondoa ushiriki wake, jinsi rahisi na salama ni kumuonyesha njia ya amani na salama.
Hao wazanzibara wasio Waislaam walifanywa nini kabla ya muungano hata ikitokea uvunjike uwe na wasiwasi kuwa hawatakuwa salama?
Kuna mantiki katika maneno yako ikiwa tu wanajijuwa kuwa wao wamefanya makosa na watawajibishwa. Lakini kama hawana kosa kwanini uwe na wasiwasi?
nimeisoma na haina msingi wa historia; yote anayoyasema ni kweli lakini ana assume (kwa makosa makubwa) chombo halali cha Wazanzibar wakati ule hakikuridhia Muungano. Halafu inaonekana umesoma alichoandika Pasco kana kwamba ndivyo ilivyotokea (as historical fact) wakati alichoandika ni ubunifu tu wa fikra zake.
Historiainatuambia kuwa ukristo uliingia Afrika katika karne ya kwanza sehemu ya Afrikakaskazini kama Alexandria-Misri, Kartthegi-Tunisia na Libya. Ukristu ulikujakufifia kabisa katika karne ya saba baada ya uvamizi wa Waarabu Waislam kutokaMashariki ya Kati. Ukristu ulikuja tena Barani Afrika mnamo karne ya kumi nasita wakati wa enzi ya uvumbuzi. Wainjilishaji wa kipindi hicho walikuwaWamisionari wa Shirika la Roho Mtakatifu(Holy Ghost/Spiritan Fathers)Mnamomwaka 1597, baadhi ya Wareno na Mapadre wa shirika la Mtakatifu Augustino(Orderof Saint Augustine – OSA) walifika Zanzibar. Hawa walikuja na kikundi cha Wagoaambao walikuwa Wakatoliki. Mnamomwaka 1860, Mapadre watatu wa Shirika la Roho Mtakatifu, Masista sita naDaktari mmoja kutoka Ujerumani walifika Zanzibar. Sultan Sayyid Majidaliwakaribisha baada ya kuhakikishiwa kwamba hawakuja kwa sababu za kisiasa ilasababu za kidini. Wamisionari hao walianzisha shule za ufundi na wakati huo huowalieneza Injili. Baada ya kuona huduma yao kubwa walioitoa kwa watu, Sultanaliwapenda sana na akaahidi kuwalinda na kuwasaidia. Wamisionari hawawaliwakomboa watumwa wengi na wakawajengea nyumba na hatimaye wakawafundishaneno la Mungu na kuwabatiza.Uhalali wa kutoka kwenye makabrasha ya CIA? tuoneshe uhalali wa kutoka Serikali ya Zanzibar na Tanganyika.
Kama hauna, kaa kimya. Unajuwa sana kuwa huu ni muungano ulioshadidiwa na Nyerere kwa sababu ya kueneza Ukatoliki Zanzibar.
Mkuu Shedafa, usemayo ni kweli, kiwenye hili la "to let them go", mimi na Mzee Mwanakijiji we sail the same boat, ila mimi nimekwenda mbali zaidi, nimesema kuondoka kwenye muungano honourably bila kokoro wala makeke, ni kwa Zanzibar kusisitiza kufuatwa kwa matakwa yote ya zile 'articles of union" kwa hoja kuwa kwa vile ile 1964, hakukufanyika any ratification, hiyo process ya ratification ifanyike sasa na badalaali ya kuukataa BLW wasifanye ratification na process ya kuuvunja kwa amani ifuate, sababu ya msingi ikiwa ni ukiukwaji wa taratibu sheria na kanuni, mlango wao kisheria uko wazi with no regret!.
mbona sehemu zingine umefuta .umeficha nnNyaraka zote za intelligence na zile ambazo ziko 'classified' zinalindwa kutolewa hadharani kwa muda wa miaka mbalimbali. Kiwango cha chini ni miaka 30 na nadhani kiwango cha juu ni miaka 70 kutegemeana na nchi. Nyaraka hizo zilikuwa classified kwa miaka thelathini naamini. Sasa hivi nyaraka za Tanzania zilizokuwa zimekuwa classified kwa miaka 30 na 40 sasa hizi zinatakiwa ziwekwe wazi - kama wasomi wetu wangeng'ang'ania na waandishi wetu kupigania.
Mzee Mwanakijiji,
Kwa hiyo hiyo kauli ya Karume kumwambia Babu, kuwa BLM lote wameridhia kwako ndio Ratification?!.
Nikasisitiza, msingi wa muungano ni kauli za Nyerere na Karume, lakini kauli hizo, haziwezi kusimama bila maandishi!, ndipo zikaandaliwa "Articles of Union" aizombalo ndilo andishi au msahafu wa muungano!. Baada ya Articles hizo za muungano kusainiwa, sheria za "international treaties", zisisitiza, lazima ziwe "ratified" kwenye nchi husika ili zipate uhalali wa kisheria (legitimacy). Articles zile kwa Tanganyika, zilipitia "ratification process yote ili kuziridhia, na ziliridhiwa kwa maandishi na kutangazwa kwenye GN!. Kwa upande wa Zanzibar, hakuna kilichofanyika zaidi ya kauli ya Karume kuwa BLM limeridhia!. Ratification haifanyiki kwa kauli bali kwa maandishi!. Nikasisitiza, hakuna maandiko yoyote popote yanayothibitisha kuwa muungano ulikuwa ratified Zanzibar!.
Pasco