Kinyozi wa Somalia, MWEEE

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
581463_166300100175007_632660015_n.jpg
 
safi sana.mwanamme unatakiwa utembee na silaha walau fimbo au kisu.lakini kama utapata mashine kama hiyo...fine.waliokwenda yemen na afghanistan ni wazoefu wa kutembea na vitu hivyo.
 
safi sana.mwanamme unatakiwa utembee na silaha walau fimbo au kisu.lakini kama utapata mashine kama hiyo...fine.waliokwenda yemen na afghanistan ni wazoefu wa kutembea na vitu hivyo.

Old fashioned world of hooligans. Kwa dunia ya leo, mwanaume ni yule awezaye kuitunza vyema familia yake kwa kuipatie mahitaji muhimu na ustawi.

Maisha hayo ni sawa na wanyama hayawani. Pundamilia hali majani yake kwa amani kwa hofu ya Yanga na Chui wanaorandaranda mwituni wakimuwinda.

Nguvu ya Mungu yahitajika hapo, nisamehe kama nimeongea vitu ambavyo huelekei kuvielewa.
 
Hakuna cha ajabu hapo. Kwa wale ambao tumepitia au bado tupo jeshini tunajua kuwa ni kosa kubwa kuweka silaha uliyo nayp pembeni. Maafande walikuwa wanatuambia kuwa bunduki ni mke wako, ukilala, unalala nayo!
 
Old fashioned world of hooligans. Kwa dunia ya leo, mwanaume ni yule awezaye kuitunza vyema familia yake kwa kuipatie mahitaji muhimu na ustawi.

Maisha hayo ni sawa na wanyama hayawani. Pundamilia hali majani yake kwa amani kwa hofu ya Yanga na Chui wanaorandaranda mwituni wakimuwinda.

Nguvu ya Mungu yahitajika hapo, nisamehe kama nimeongea vitu ambavyo huelekei kuvielewa.

well said! mwanume ni yule anayeweza kuweka watu (mke, watoto, mashemeji, wadogo, n.k) salama nyumbani kwake bila tatizo lolote! ni yule anayeweza kupiga 3 mara 2 kwa siku yaani asub unaamka na 3 na jioni unalala na 3! ni yule ambaye watoto wanajivunia kuwa na baba kama huyo! ni yule ambaye mke wake anampa full respect! anajali usalama wa food yaani food security kwenye stoo yake!
 
Back
Top Bottom