Kinondoni vs Sinza

Muuza Sura

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,985
1,345
hizi sehemu mbili nazikubali sana kwa mishemishe za raia wake!ningependa kujua kati ya kino na sinza wapi kwa wajanja?na sababu za kuikubali sehemu husika!
 
Siku izi wajanja wa kweli wapo Tbt kwa wala bata,kino na sinza ilikuwa zamani.
 
Kino clan ndo penyewe, tatizo siku hizi kote kumejaa wakuja (wapangaji) sio wazawa, so sinza na kino hakuna tofauti na tandahimba,, but enzi hizo watoto wa town wapo nyumbani ilikuwa ni balaa kwa madili, mda wote watu wanasaka mshiko,, wengi wamehamishiwa tabata as house zao zimepangishwa sinza na kinondoni
 
Sinza zamni bwana leo hakuna kitu,kino malaya na mateja kibao mtaani tofauti na sinza malaya wapo usiku tuu
 
hizi sehemu mbili nazikubali sana kwa mishemishe za raia wake!ningependa kujua kati ya kino na sinza wapi kwa wajanja?na sababu za kuikubali sehemu husika!
kwanza hongera, ID yako na AVATAR vinaendana...tukirudi kwenye mada, ujanja wangu, unaweza ukawa upupu kwa mwingine...so kila sehem ina ujanja wake na watu wa eneo husika wanajikubali.
 
Siku izi wajanja wa kweli wapo Tbt kwa wala bata,kino na sinza ilikuwa zamani.

TBT napakubali pia mkuu kuna wana nawakubali wabishi kale!kuna bingwa wa kuitwa sossy na tobby hao bata ndefu kitambo!
 
kwanza hongera, ID yako na AVATAR vinaendana...tukirudi kwenye mada, ujanja wangu, unaweza ukawa upupu kwa mwingine...so kila sehem ina ujanja wake na watu wa eneo husika wanajikubali.

Umejibu kijanja!yaani umejibu kikinondoni kinondoni!
 
TBT napakubali pia mkuu kuna wana nawakubali wabishi kale!kuna bingwa wa kuitwa sossy na tobby hao bata ndefu kitambo!

ila ukisema kino vs sinza nadhani sinza aminia sana,kino imekuwa vurugu sana siku izi,sinza imejaa wafanyakazi wa mabenki na kampuni za simu haswa wakutoka mkoa,huwa wanakuja kwa mbwembwe sana,ivyo wanapachangamsha kimtindo.
 
Back
Top Bottom