Elections 2010 Kinondoni Need MP like Mpoki Mwambuluku

Kwanza i have to say kwamba am so please by both side of the debate. For those who debate about what Mpoki did for Tanzania, again I will say this. Kwanza as far as CV please don't expect ten pages for a 32-34 years old who spent most of his life to earn knowledge. However, as i mentioned before, the guy have substantial experience.

He returned to Tanzania last year, after over a decade searching for knowledge. He is strongly participated on formulate micro-finance and cost management strategies kwa wakina mama ambao ni wafanyabiasha wadogowadogo in rural Tanzania. Again to this moment he still volunteering consulting small business, farmers and wakina mama on business aspects.

Mpoki could chose to become a scholar in the west institutions and settled with substantial income, but he chose a different highway of participating toward Tanzania development.

I STRONG admire everyone who challenge either his background or experience. However, i challenge you as my JF family just research more about this guy. He can delivered, Tanzania is hungry for leaders and people who can start running day one. This is the guy, humble, charismatic, experienced and patriotic. We need people who will challenge the way things are going in Tanzania, and this guy is the agent of that.

For all my friend who said CCM was the wrong move. Trust me to some-point i agree, but CCM is here to stay and samaki mmoja akioza methali doesn't apply here. Let us not punish strong and qualified candidates because of the EPA or Richmond mistakes. We need independent thinkers, and trust me some are in CCM and some are in Chadema. Let us combine this forces and move this nation forward. We need every knowledgeable and humble leaders we can get. We don't have a lot of time to groom one at the time. We need as many potential leaders as possible.

But if we're going to act like Republican, means say no for everything that democratic put forward then the country will continue to be divided and those fresh eater will continue to enjoy easy ride.

Kutokana na majibu yako inaoneka WEWE ndio huyo mgombea is like "your friend is you" .

Hujaongea kama wengi humu wanvyowapigia debe watu you have selected your words so careful to answer those who come with challenges .

Hope you win kwa post ya ubunge unaweza kuwa changamoto kama na kama tu (iff)hutamezwa na mafisadi na the odd is 75% utamezwa ni shida ya tunaosema CCM kwa nini kwa mpenda maendeleo na mabadiliko au kwako kila kitu sawa kwa CCM inavyenenda?

Pia sio kuwa hujafanya mengi ndio sababu ya kutokuwa mzuri no you might be the best ,ila watu wanafarijika na nguvu ya kukuunga mkono kama ume perform alread ktk jamii maan usomi pekee hautoshi wengi wamekuja vijana wamesoma na wanaboronga sasa.
 
Mazee Mtanganyika kwa taadhima zote, kwanza kama unataka kujieleza vizuri bora andika Kiswahili tu.Kiingereza chako manati na chetu manati, basi tunachanganyana tu. Nitajaribu kuja kupitia mada zako moja baada ya nyingine.
 
Kumbe na wewe umeona eeeh? Mimi nimeishia hapo kwenye aya ya pili tu na stimu ya kuendelea kusoma ikanitoka....."He is strongly participated on formulate micro-finance and cost management strategies kwa wakina mama ambao ni wafanyabiasha wadogowadogo in rural Tanzania."
 
Mtanganyika,

Kwanza i have to say kwamba am so please by both side of the debate. For those who debate about what Mpoki did for Tanzania, again I will say this. Kwanza as far as CV please don't expect ten pages for a 32-34 years old who spent most of his life to earn knowledge. However, as i mentioned before, the guy have substantial experience.

Hakuna mtu aliyetaka ten pages, labda yeye aliyetaka kuwekea mkazo ma stashahada ndiye anayetaka kuleta mambo ya ten pages.Watu hatutaki hata pages, maana Watanzania ni wazuri kwa presentation.Watu tunataka vitu vinavyoonekana kwa macho na kujiongelea vyenyewe. Mfano Obama alivyokuwa anacampaign kuwa state Senator huko Illinois alikuwa tayari kashafanya Community organization hapo Chicago, na watu walikuwa wanamjua kazi yake, alivyojihusisha na maisha ya watu wa kila siku.Hakutoka Columbia na Harvard kuja kutafuta uwakilishi wa watu eti kwa sababu yeye ni msomi wa Ivy League, ali ji prove kwa wananchi kwanza, wakamkubali, akaomba kura. Kuomba kura ni haki ya kila mtu, lakini kama kuomba mkopo, kila mtu ana haki ya kuomba mkopo, lakini mtoa mkopo ana haki ya kuangalia vigezo, aombaye mkopo ana uwezo wa kufanya kweli? Huko nyuma kashafanya biashara gani? Amekopa? Ameweza kurudisha mikopo ? etc

He returned to Tanzania last year, after over a decade mission of searching knowledge. He is strongly participated on formulate micro-finance and cost management strategies kwa wakina mama ambao ni wafanyabiasha wadogowadogo in rural Tanzania. Again to this moment he still volunteering consulting small business, farmers and wakina mama on business aspects.

Haya mambo ya micro finance haya ndiyo niliyokuwa nayataka. Mbona huna specifics sasa? Data za kazi yake ziko wapi? Alifanya kazi kama muajiriwa wa watu au kama independent consultant? Au alikuwa volunteer ? Kitu alichofanya hasa ni nini? Where are the figures ? Kawasaidia watu wangapi? Kufanya nini ? Inawezekana mna habari nzuri za kutuonyesha kizazi kipya cha viongozi hapa, tuelezeni vizuri msifiche vipaji. Au inawezekana mnaganga uongo bila data, tutawamulika.

Mpoki could chose to become a scholar in the west institutions and settled with substantial income, but he chose a different highway of participating toward Tanzania development.

Well and good, angechagua kuwa scholar huko west, watu wa west wana criteria zao za ku vet, wala sisi tusingemgusa. Lakini maadam kachagua kutaka ubunge nyumbani, na sisi tuna haki ya kuuliza ufanisi wake.Tanzania ya leo si ya kuwaimpress watu na paper qualifications, we need more than that.

I STRONG admire everyone who challenge either his background or experience. However, i challenge you as my JF family just research more about this guy.

Sasa wewe ndiye unayekuja kumuuza hapa, halafu wewe huyo huyo unatupa kazi ya ku research tena? Hivi huyu Mpoki akienda kujinadi anawaambia wananchi "research about me?". Kwa nini tum research yeye na tuache kumkubali mtu kama Mzee Kimbisa kwa mfano ambaye anaweza kutuambia amefanya kazi nzuri sana Tanzania Red Cross kusaidia katika majanga si Dar au Kinondoni tu, bali Tanzania nzima ? You gotta understand that as an underdog (non-incumbent Young-Turk at that) this guy does not have a political record, and he sounds like he is fresh out of school so I will not be surprised to hear even his corporate career is flimsy. Sasa tuambieni amefanya nini. Mtu mwenye uwezo na kipaji huhitaji kumfanyia research, kwa sababu vitu vyake vitajulikana tu, sikuhizi mambo unabofya tu. Kama jamaa ni mtu wa watu na kashafanya kazi na watu hata ki foto op kwenye gazeti moja au website moja kutuonyeshea hamna? Hata jina la organizations alizofanya nazo hizo microfinance projects hatuna? Hata sehemu za Tanzania zilipotokea hizo projects hamjaweka? Tufanye research tuanzie wapi jamani hamtupi hata sehemu ya kuanzia? Kweli ndivyo mnavyom kampainia mwenzenu hivyo?

He can delivered,

Can he "delivered" indeed and not by mere words ? what has he delivered so far ?

Tanzania is hungry for leaders and people who can start running day one.

So far you haven't shown that he can crawl, let alone run from day one.

This is the guy, humble,

Humility is not a leadership qualification, it is a human characteristic.Tumeuziwa Kikwete kwa gia hizo hizo za humble, juzi kawatukana wafanyakazi kwenye a national audience.Don't give us that "humble" bs.Kwangu mimi ukianza kumuuza mtu kama humble I get a sense huyu ni mtu asiye na distinct qualifications.It is good to be humble, but this is a standard trait that any person can claim.Tuambie huyu ata add value gani? Na kashaprove kwamba ata add value hiyo kivipi ?

charismatic,

Kikwete naye walimsema hivyo hivyo, mbona parallels nyingi hapa ?

experienced

Experience yake nini hasa? Mbona hatujapata detail yoyote ?

and patriotic.

90% of the country can claim this, how can he distinguish from the pack ?

We need people who will challenge the way things are going in Tanzania, and this guy is the agent of that.

What has he challenged ? If he is so much of a contrarian why is he going through the status quo ? Indeed, as an ambassadors son, he is the status quo, how can the status quo challenge itself ?

For all my friend who said CCM was the wrong move. Trust me to some-point i agree, but CCM is here to stay

So much for a challenge mindset and change agent. If people say Mr. Mwambulukutu is more of the same, what will you say ?

and samaki mmoja akioza methali doesn't apply here. Let us not punish strong and qualified candidates

Mbona mnataka kumsema kama ni "strong and qualified" wakati hata hamjatuonyesha strength zake na qualifications zake ni zipi? And please don't mention the degrees as qualifications, tuna Ivy Leaguers since 70's huko na angalia tulipo.

because of the EPA or Richmond mistakes. We need independent thinkers,

Sawa, huyu kaonyesha independency vipi? Mimi namuona kama maji kufuata mkondo tu, kama angekuwa independent thinker hata asingetaka kufuata mkondo wa baba wa kazi za kisiasa.Hujanishawishi kwamba huyu ni independent thinker.

and trust me some are in CCM and some are in Chadema.

Right now I am particularly focused on this one.

Let us combine this forces and move this nation forward.

Can you be specific? combine which forces?

We need every knowledgeable and humble leaders we can get.

As far as knowledgeable, you haven't demonstrated that your candidate is knowledgeable. As far as humility is concerned, it is one of the basics of humane traits, and doesn't necessarily qualify one for leadership. Actually people like Churchill used to have reservation about humility, some humble people have much to be humble about.

We don't have a lot of time to groom one at the time. We need as many potential leaders as possible.

Wewe ushaona ubunge ni sehemu ay ku groom watu sio ? Msitake kufanya uwakilishi wa watu kuwa stepping stone za ambitions zenu za baadaye.

But if we're going to act like Republican, means say no for everything that democratic put forward then the country will continue to be divided and those fresh eater will continue to enjoy easy ride.

That does not mean we should just take anything you dish out religiously, some of us question everything, even religion and indeed the existence of a godhead, so who is Mwambulukutu not to be probed closely ?
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Mpoki ni chagua zuri kwa jimbo kusema ukweli. Mbali yakuwa amesomea development, economy na technology (IT), (sekta ambazo tunazihitaji sana nchini kwetu ili kuweza kujisustain na kuendelea), amefanya utafiti na kazi kwenye area ya development kule Arusha na anaelewa nini Mtanzania anahitaji na nina imani ana moyo wa kujaribu kudeliver hilo na kusikiliza wanajimbo wake ni nini wanataka na kuweza kujaribu kutafuta njia za kufanikisha mahitaji ya jimbo ipasavyo . Mpoki hasemi achaguliwe kwasababu yeye ni kijana au kwasababu amesoma ila kwasababu ana imani kuwa ana qaulity zinazohitajika kuwakilisha wanajimbo wake na mahitaji na maendeleo yao na kuwa atafanya hivyo kwa moyo wake wote na nguvu zake zote na kwakutumia elimu aliyonayo. Mpoki nadhani sababu ya kuonesha vyeti vyake jukwaani ni kwasababu Tanzania wakubwa wengi wamekua wakitulaghai kuwa wamesoma wakati hawajasoma hivyo hii ni kama kuwathibitishia wananchi kuwa yeye ni mkweli. Mimi nadhani Mpoki ni kijana ambaye it is worth kumpa hii chance ya kujaribu kumake a difference kwenye jimbo hili na kwenye nchi kiujumla. Mimi ninavyomjua Mpoki ni mtu mwenye huruma sana ambaye anaweza kugawa alichonacho na yeye asibaki nacho kwasababu ya huruma kuwa mwengine anahitaji zaidi na nimeona hiyo kwake mara nyingi tu. Nadhani hiyo ni sifa nzuri sana kwa mgombea kwani hajiweki yeye mwanzo ila anaangalia overall interest za wote.
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Mpoki ni chagua zuri kwa jimbo kusema ukweli. Mbali yakuwa amesomea maendeleo, economy na technolojia (sekta ambazo tunazihitaji sana nchini kwetu ili kuweza kujistain na kuendelea), amefanya utafiti na kazi kwenye area ya development kule Arusha na anaelewa nini Mtanzania anahitaji na nina imani ana moyo wa kujaribu kudeliver hilo na kusikiliza wanajimbo wake ni nini wanataka na kuweza kujaribu kutafuta njia za kufanikisha mahitaji ya jimbo ipasavyo . Mpoki hasemi achaguliwe kwasababu yeye ni kijana au kwasababu amesoma ila kwasababu ana imani kuwa ana qaulity zinazohitajika kuwakilisha wanajimbo wake na mahitaji na maendeleo yao na kuwa atafanya hivyo kwa moyo wake wote na nguvu zake zote na kwakutumia elimu aliyonayo. Mpoki nadhani sababu ya kuonesha vyeti vyake jukwaani ni kwasababu Tanzania wakubwa wengi wamekua wakitulaghani kuwa wamesoma wakati hajasoma hivyo hii ni kama kuwathibitishia wananchi kuwa yeye ni mkweli. Mimi nadhani Mpoki ni kijana ambaye it is worth kumpa hii chance ya kujaribu kumake a difference kwenye jimbo letu na kwenye nchi kiujumla. Mimi ninavyomjua Mpoki ni mtu mwenye huruma ana ambaye anaweza kugawa alichonacho na yeye asibaki nacho kwasababu ya huruma kuwa mwengine anahitaji zaidi na nimeona hiyo kwake mara nyingi tu. Nadhani hiyo ni sifa nzuri sana kwa mgombea kwani hajiweki yeye mwanzo ila anaangalia overall interest za wote.

Bado sijaona achievement zake, kila mtu anasema anafaa, anafaa, alichofanya hasa kinachoonekana ni kipi ? Kafanya kazi na organizations gani? Kasaidia nini ? Kama kuna evidence anecdotal au concrete figures tupeni hapa tuone. Maana haya mambo ya kupambana kijumla jumla tu yashapitwa na wakati.

Halafu huyu si yule kijana aliyekuwa na vi beef mbuzi na Gwamaka Mwabulambo? Sio yeye huyu ? Kama ni yeye atatuhakikishiaje kwamba mambo ya ugomvi wa kitoto na visasi kashayapita? Hatutaki mbunge mwenye mibeef kama gangstar rapper kwenye mjengo ule musharabu wa Dodoma.
 
Kumbe na wewe umeona eeeh? Mimi nimeishia hapo kwenye aya ya pili tu na stimu ya kuendelea kusoma ikanitoka....."He is strongly participated on formulate micro-finance and cost management strategies kwa wakina mama ambao ni wafanyabiasha wadogowadogo in rural Tanzania."

Umekosea Nyani Ngabu, hiki si kiingereza ila ni lugha ambayo ina maneni ya kiingereza.
 
Bado sijaona achievement zake, kila mtu anasema anafaa, anafaa, alichofanya hasa kinachoonekana ni kipi ? Kafanya kazi na organizations gani? Kasaidia nini ? Kama kuna evidence anecdotal au concrete figures tupeni hapa tuone. Maana haya mambo ya kupambana kijumla jumla tu yashapitwa na wakati.

Halafu huyu si yule kijana aliyekuwa na vi beef mbuzi na Gwamaka Mwabulambo? Sio yeye huyu ? Kama ni yeye atatuhakikishiaje kwamba mambo ya ugomvi wa kitoto na visasi kashayapita? Hatutaki mbunge mwenye mibeef kama gangstar rapper kwenye mjengo ule musharabu wa Dodoma.

Son, Gwamaka Mwabulambo au Gwamaka Mwaikambo?
 
Kwanza as far as CV please don't expect ten pages for a 32-34 years old who spent most of his life to earn knowledge.

Mkuu jifunze kutenganisha facts na opinions. Mpoki was born in 1974 and this is a fact. He is therefore 36 yrs old and not a kid as you would like to potray him. The name KID in politics would fit guys of from say 20 - 30. I can see you are struggling to link age and the your so called academic achievements. By the way kuna watanzania wamepata hizi PHD's at 29 if you think that connection matters.

Tunachokiongea hapa ni kwamba huyu jamaa hana records zozote za uongozi ambazo umetuthibitishia with specifics wewe kama mpiga debe wake.
 
Son, Gwamaka Mwabulambo au Gwamaka Mwaikambo?

Mwakanjuki, Mwakalinga, Mwakyusa, Mwandosya, Mwabulambo, Mwaikambo,Mwambulukutu, Mwakalingile, Mwakyembe, Mwanakijiji.

Mwe, kila kitu Mwa

Mpaka tunawachanganya sasa. But yeah, weren't these two cats in some heavy bad blood type of beef ?
 
Haya ndio matatizo ya kuwapamba watu badala ya kupamba kazi zao...kuna watu wanajua mifupa ilipo huko kabatini kuliko unavyodhania.
 
Kwa muda mrefu sana nchi hii imekuwa ikchagua viongozi kwa uangalia sura. Nadhani madhara yake hayana haja ya kuelezea. Mimi ninachofahamu ni kuwa, kama kweli mgombea ni mzuri, anachotakiwa ni kuthibitihsa uzuri wake tu. Hakuna haja ya kuwa na hofu kama anastahili kuchaguliwa kuliko wengine wanaoomba ridhaa hiyo.

Vigezo vya mtu anaefaa kuwa Mbunge wa Kinondoni viko kwa wananchi wa Kinondoni kuamua.
 
Bado sijaona achievement zake, kila mtu anasema anafaa, anafaa, alichofanya hasa kinachoonekana ni kipi ? Kafanya kazi na organizations gani? Kasaidia nini ? Kama kuna evidence anecdotal au concrete figures tupeni hapa tuone. Maana haya mambo ya kupambana kijumla jumla tu yashapitwa na wakati.

Halafu huyu si yule kijana aliyekuwa na vi beef mbuzi na Gwamaka Mwabulambo? Sio yeye huyu ? Kama ni yeye atatuhakikishiaje kwamba mambo ya ugomvi wa kitoto na visasi kashayapita? Hatutaki mbunge mwenye mibeef kama gangstar rapper kwenye mjengo ule musharabu wa Dodoma.

sasa wewe beef za utoto wao ndo unaleta hapa?
 
Mimi sina CV ya Mpoki na wala sio mpiga debe wake ninatoa tu opinion yangu kwajini ninanvyojua ability yake kuweza kulead jimbo hivyo kazi ninazozitaja hapa sio extensive na hazitokua na exact details but ndio ninavyozikumbuka wakati nikimjua zamani. Nakumbuka alifanya through the Development Planning Unit kazi Arusha it was something to do na wanawake maendeleo nakumbuka ila nimesahau details. Pia Uingereza alifanya again through the Development Planning Unit kazi on regenerating Northumberland Park in Haringey Council. Ila tukumbuke kitu kimoja kwenye kuchagua viongozi tuangalie experince ndio ila experince sio kila kitu. Kuna wakubwa wangapi nchini wanaexperince miaka nenda miaka rudi na organiations kubwa kubwa lakini hamna chochote wanachojua wala kukifanya. Hata kwenye makampuni wangapi wanakuja na cv zimepambwa experince kibao ukiwainterview au kuwapa kazi hamna lolote wanalojua. Hivyo tunapoangalia ability ya mgombea tusiangalie tu work or leadership experience but umsikilize anavyojitetea, anavyojibu maswali na kuya tackle na kujudge mwenyewe from all that.

Hiyo ishu ya beef na Gwamaka sijui sijawahi kuisikia kusema ukweli. Sisemi kuwa haiexist kwani siwezi kujua ila nahisi ingekuwepo ningekua nimeisikia before. Mpoki lakini wako wengi kama marehemu Mpoki Mwambenja eg yeye ndo akijulikana hivyo tuangalie kuwa hatuwachanganyi. Mimi ninavyomjua Mpoki lakini alivyokua mtoto shule ya msingi au sekondari alikua mtundu kama watoto wengine ofcourse ila kwenye ujana hakuwa mtu mwenye mabeef na ugomvi na ugangster etc. Ni kijana mwenye heshima kwa kweli na ugomvi ninaomkumbuka Mpoki kuwemo ilikua Dar zamani 90 something disco na yeye alikua anasuluhisha. Kuna jamaa sitaki kutaja jina alikua anagombana na mwanamke wake kuhusu mwanamke mwengine basi akaanza kumpiga pale pale disco so ndo Mpoki na washkaji wake wakaingilia kuwa utampigaje mwanamke kumuonea hivi tena uko in public hata kuogopa na kujaribu kumrekebisha the guy.
 
Sidhani tatizo la CCM ni wasomi au nini wamefanya kabla ya kuwa wanasiasa.
Tatizo mfumo wa CCM lazima atakuwa zeze, mwizi na hiyo elimu yake itaonekana kituko. Kuna phd nyingi sana za kutukuka ndani ya CCM, ila zinazofanya baada ya kuwa wabunge heri darasa la saba.

Mpoki amelelewa ndani ya CCM ameridhishwa udumavu wa CCM sioni kama kuna kitu atafanya, angalieni wasomi kama Chenge, wamebakia kuwa mafisadi. Ila kwa sababu CCM hakuna msafi wala uwajibikaji mtajiju.

Tunaomba Kura zenu mzipeleke CHADEMA , Raisi Slaa na wabunge Ipigie Chadema. Kula fehda za CCM kura Chadema.
 
Kwanza i have to say kwamba am so please by both side of the debate. For those who debate about what Mpoki did for Tanzania, again I will say this. Kwanza as far as CV please don't expect ten pages for a 32-34 years old who spent most of his life to earn knowledge. However, as i mentioned before, the guy have substantial experience.

He returned to Tanzania last year, after over a decade mission of searching knowledge. He is strongly participated on formulate micro-finance and cost management strategies kwa wakina mama ambao ni wafanyabiasha wadogowadogo in rural Tanzania. Again to this moment he still volunteering consulting small business, farmers and wakina mama on business aspects. He does this pro bono. He chose to run for the office because he saw the urgency of changes on the way Tanzania government is doing business. He tried to do bottom up strategy, however he saw the necessities of jump in a and participating in changing our way of doing business. He is seeing what next generation will reap after the mess of this generation. He is optimistic that is why he chose the hard way.

Mpoki could chose to become a scholar in the west institutions and settled with substantial income, but he chose a different highway of participating toward Tanzania development.

I STRONG admire everyone who challenge either his background or experience. However, i challenge you as my JF family just research more about this guy. He can delivered, Tanzania is hungry for leaders and people who can start running day one. This is the guy, humble, charismatic, experienced and patriotic. We need people who will challenge the way things are going in Tanzania, and this guy is the agent of that.

For all my friend who said CCM was the wrong move. Trust me to some-point i agree, but CCM is here to stay and samaki mmoja akioza methali doesn't apply here. Let us not punish strong and qualified candidates because of the EPA or Richmond mistakes. We need independent thinkers, and trust me some are in CCM and some are in Chadema. Let us combine this forces and move this nation forward. We need every knowledgeable and humble leaders we can get. We don't have a lot of time to groom one at the time. We need as many potential leaders as possible.

But if we're going to act like Republican, means say no for everything that democratic put forward then the country will continue to be divided and those fresh eater will continue to enjoy easy ride.

Mtanganyika let assure you that nothing good will come out of ccm. There good people who tried to re-shape ccm but they are no where, hicho ni kisiki. We know good people who join politics through ccm sasa ni maboya tu.

No pice of advice, if Mpoki is so good, advice him to cross the line and join CHADEMA hapo tutamfikiria, lakini huko ccm wacha wagombane tu, usitupotezee wakati hapa, kuna mambo muhimu zaidi ya kujadili.
 
sasa wewe beef za utoto wao ndo unaleta hapa?

Tofautisha beef za kitoto na beef za utoto, in any case lile lilikuwa ni a genuine question, kwa hiyo kama huwezi kujibu unaweza kunyamaza tu.
 
Wanajamii, nadhani kulaumu wote waliosoma nje ni misleading. Kwa Mtazamo wangu kati ya wagombea wote wa Kinondoni, Mpoki ana exceptional skills. Mpoki is between 32-34, and within that age ameweza kuachieve mengi in academic, life and career. Tanzania inaitaji watu wenye high thinking capability, and trust me this guy have it. He is one of those people who have exceptional point of view.

Leo hii tunaumizwa na World Bank and IMF sababu hatuna wachumi ambao wanaweza kutazama suggestion za World Bank and IMF kwa jicho la karibu, and trust me this kid spend a lot of time analyze Tanzania economical development prior and after independence.

Kufananisha kila kijana aliyesoma West na Mh. Masha is total wrong. Most of the time life experience shaped individual. I cant talk about Masha life experience sababu simjui, but i can assure you that Mpoki is a fighter of a common man.

Mpoki amefanya research nyingi sana kuhusu Agriculture Economic Development in rural Tanzania. Ameweza kushiriki kwa karibu kabisa na wanavijiji mbali mbali kutafuta njia mbadala ya kuongeza zalisho kwenye vilimo vyao.

Amekuwa mstari wa mbele hata hapa JF kuanzisha mijadala mbali mbali kuhusu maendeleo ya Tanzania, vilevile kukemea pale mabaya yanapotendeka. Nadhani kabla hatuja toa conclusion, we need to research more about the guy and how his past experience shape his vision toward the future.

I endorse the guy sababu i believe Tanzania need him. He is a change that we can believe in.
Rubbish! Utter nonsense! Change kwenye Chama Cha Mapinduzi?? Yeye anajua anachokitafuta ndani ya CCM ambacho wewe hujakielewa. Sisi wenzako tunakielewa. Na tunakiona kwa wanaCCM almost wote. So stop that childish talk, Please!
 
Mimi sina CV ya Mpoki na wala sio mpiga debe wake ninatoa tu opinion yangu kwajini ninanvyojua ability yake kuweza kulead jimbo hivyo kazi ninazozitaja hapa sio extensive na hazitokua na exact details but ndio ninavyozikumbuka wakati nikimjua zamani. Nakumbuka alifanya through the Development Planning Unit kazi Arusha it was something to do na wanawake maendeleo nakumbuka ila nimesahau details. Pia Uingereza alifanya again through the Development Planning Unit kazi on regenerating Northumberland Park in Haringey Council. Ila tukumbuke kitu kimoja kwenye kuchagua viongozi tuangalie experince ndio ila experince sio kila kitu. Kuna wakubwa wangapi nchini wanaexperince miaka nenda miaka rudi na organiations kubwa kubwa lakini hamna chochote wanachojua wala kukifanya. Hata kwenye makampuni wangapi wanakuja na cv zimepambwa experince kibao ukiwainterview au kuwapa kazi hamna lolote wanalojua. Hivyo tunapoangalia ability ya mgombea tusiangalie tu work or leadership experience but umsikilize anavyojitetea, anavyojibu maswali na kuya tackle na kujudge mwenyewe from all that.

Hiyo ishu ya beef na Gwamaka sijui sijawahi kuisikia kusema ukweli. Sisemi kuwa haiexist kwani siwezi kujua ila nahisi ingekuwepo ningekua nimeisikia before. Mpoki lakini wako wengi kama marehemu Mpoki Mwambenja eg yeye ndo akijulikana hivyo tuangalie kuwa hatuwachanganyi. Mimi ninavyomjua Mpoki lakini alivyokua mtoto shule ya msingi au sekondari alikua mtundu kama watoto wengine ofcourse ila kwenye ujana hakuwa mtu mwenye mabeef na ugomvi na ugangster etc. Ni kijana mwenye heshima kwa kweli na ugomvi ninaomkumbuka Mpoki kuwemo ilikua Dar zamani 90 something disco na yeye alikua anasuluhisha. Kuna jamaa sitaki kutaja jina alikua anagombana na mwanamke wake kuhusu mwanamke mwengine basi akaanza kumpiga pale pale disco so ndo Mpoki na washkaji wake wakaingilia kuwa utampigaje mwanamke kumuonea hivi tena uko in public hata kuogopa na kujaribu kumrekebisha the guy.

Mimi sijafagilia experience, ukinisoma vizuri utajua kwamba naua kufagilia kutumia experience - by experience I mean the mere running of office regardless of results- . Hii experience mimi siitaki, naiponda, kuna thread ya Dr. Salim Ahmed Salim watu wamesema ana experience, mimi nikaiponda point ya experience, kwa sababu experience bila results ni hogwash.

Nipe kijana aliyefanya kazi nchini mwaka mmoja na kunionyesha kitu concrete alichofanya over any seasoned politican aliyefanya kazi miaka 30 bila chochote cha maana.Nitamchagua huyu kijana ingawa experience wise atakuwa hajamfikia huyu mzee, lakini tukifanya hesabu za cross multiplication (just to simplify things for the sake of analysis) na kusema kama kijana kahamasisha kujenga shule tatu katika mwaka mmoja, na huyu mwenye experience ya miaka 30 hajafikisha hata shule 30, then kijana hana experience lakini ana potential ya kuwa mtendaji mzuri zaidi.

Wanaomsifu hawajaonyesha distinction yake, wakati tunaendelea kulala katika matatizo ya kiuchumi na kisiasa, tunatakiwa tusichague mbunge kwa sababu tu ana minimum requirements, tunatakiwa tuchague exceptional people. Tuonyesheni kwamba huyu bwana si tu ana minimum requirements, bali pia ana exceptional talent.

So far mmetuonyesha kwamba ana minimum requirement, what are his exceptions? Mkishindwa kutuonyesha exceptions hamkatazwi kuendelea kumnadi, lakini mnadini kama a mediocre candidate with minimum requirements, sio mnakuja na kutoa minimum requirements halafu mnataka ku exaggerate kwamba huyu ni exceptional candidate.

Mtu kuamua ugomvi wa disco, au mtu kuwa humble, au mtu kuwa na paper qualifications, hizi si exceptional qualities, hizi ni qualifications za kawaida tu.

Mkishindwa mtaonekana mnampigia campaign classmate wenu ili awakumbuke katika ufalm wake, hatutaki mambo haya.

Jamaa ana sifa gani exceptional za uongozi? Huko Arusha kwenye Development Planning Unit kafanya nini? Kasaidiaje? Hiyo Northumberland Park in Haringey Council kaifanyia nini? Kaisaidiaje? Alikuwa kiongozi au tarishi ? Kaongeza au kupunguza nini ? Sifa hizi zitamsaidiaje kuwa mwkilishi wa watu wa Tanzania. I am trying to understand this guy and so far mnanipa generalities, ninachojua ni kwamba kasoma Ulaya, kafanya kazi kidogo tu Tanzania, na sasa anataka ubunge, hardly convincing.

Msomi kashindwa kupanga strategy ya kukamata massive ya JF kwa kutoa achievements zake? Wapiga kura wake wamo humu na wana form an idea of who this person is by reading this thread, sasa kama anashindwa kuja na specifics hapa itaonekana ni kwa sababu hana specifics za kusema. Otherwise wanadi wake msaidieni atueleze.
 
Hivi huyu si ndiyo mtoto wa mbuge wa zamani wa Rungwe? Nakumbuka alipachikwa pale Rungwe Secondary bila kufauru halafu baba yake alipopata tu Uwaziri akataka ahame akasome ilboru shule ya watoto wa vigogo na akaitosa shule kwanza aliyopachikwa pili iliyokuwemo kwenuye jimbo lake la nyumbani ambalo baba yake ni mbuge.

Dogo usirudi tukuyu baki huko huko Kinondoni
 
Back
Top Bottom