Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,224
duh. hii hatari hasa hivi huu si UDINI tena. hata jeshi linaingia
protest>demonstration>civil unrest>uprising>civil war.
duh. hii hatari hasa hivi huu si UDINI tena. hata jeshi linaingia
Ndugu yangu umeniacha hoi sana,
Nimekufananisha na mtu aliyemuona mwenzake anakojoa barabarani, kisha akamwambia eneo hili haliruhusiwi kujisaidia na alipomaliza kumwelekeza mwenzake na yeye akachojoa nguo zake akaanza kumwaga haja kubwa...
Double standards or??
Haya shime tuendeni Airport tuhakikishe Jakaya hakanyagi tena nchi hii abakie huko huko Oman atutaki mumiani wa kuharibu nchi yetu atokomee huko huko
mimi nahisi lipo jingine walikuwa wanatafuta chanzo tu hawa jamaa. kwani akikojolea hakuna quran ingine? au akikojolea ndio maadnishi yatapotea? najaribu kutafakari ingekuwa mkristo sidhani kama hata angechukulia hivo zaidi ya kumuombea na kutangaza msamaha hapo hapo! hawa wenzetu kweli wanafundishwaga amani na upendo msikitini kama tunavyofundishwa sisi makanisani? NO! BIG NO! I DOUBT!!!kisa mtoto kakojolea kuruani au lipo jingine
mimi nahisi lipo jingine walikuwa wanatafuta chanzo tu hawa jamaa. kwani akikojolea hakuna quran ingine? au akikojolea ndio maadnishi yatapotea? najaribu kutafakari ingekuwa mkristo sidhani kama hata angechukulia hivo zaidi ya kumuombea na kutangaza msamaha hapo hapo! hawa wenzetu kweli wanafundishwaga amani na upendo msikitini kama tunavyofundishwa sisi makanisani? NO! BIG NO! I DOUBT!!!
Oly in Tanzania
Waislam wanapigania haki yao
Ndo hapo hata mimi nashangaa km vp waislamu wote wakaishi zenji afu wakristo wawe bara?!
kisa mtoto kakojolea kuruani au lipo jingine
هؤلاء الناس ليسوا من الأشياء الجيدة لذلك ينبغي التنزانيين زملائي مغادرة البلاد فورا!