Kingwangallah: Tunaomba Albaldir Uliyotuahidi

Wewe jamaa unachekesha sana. Hiyo ahlul Ibadir yako haifanyi kazi bana.

Huyo Msangi awekewe bounty tu. Mimi hapa nipo tayari kutoa dola 500. Popote pale alipo huyo jamaa ajue kuwa yuko wanted, dead or alive.

Binafsi nikikutana naye lazima nimtwange mingumi. His ass is grass.
kaka imani yangu inasema ukimlilia MUNGU kwa dhati na yeye atagrant wish yako...na sisi tutalia kwa dhati na kumuomba awaadhibu waliomtesa ndg yetu na kwa imani niliyonayo kwa hakika dua itajibu...maana leo hii ukweli umejificha sana na hakuna dalili ya kuujua for sure, kilichobaki is just mere speculations tu, sasa kwa hii kitu ukweli utabaki wazi kabisa
 
Nyani Ngabu najua una chuki binafsi shidi members wengine humu, wakina shayo ambao naona ukishambuliwa sana juu yao, ila kwa hili nakubaliana nawe.

Nami pia niko tayari kutoa $1,200 niongezee kwenye hilo lako kuongeza dau. Hata akiwa na walinzi 100, wazee kamili wanamtoa
 
Naunga mkono hoja ya kigwangala,isomwe ili tujue mbivu na mbichi,maana tumeshaanza kuchanganyikiwa na hizi taarifa mara tunasikia watekaji walikua na magwanda yanyofanana na ya chadema mara tunasikia msangi ambae ni mwana kaskazini ambako chadema inasemekana ndiko kwenye ngome yake,ukweli tutaupata kupitia kisomo hicho,kisomwe haraka tujue mbivu na mbichi
 
Uchawi wapi wewe, subiri ahlul lbadir ije utaona wanavyopukutika hapa; na ukiniudhi nakwambia nitanuwia na wewe unayetudhihaki uwemo!
Naomba niulize swali moja Hivi tunaambiwa Dr Ulimboka Alipata Brain Contusion and Concussion,Swali la msingi ni nini Memory status baada ya kupata Brain Contusion au Concussion kwa mgonjwa?
 
Naona watu wanaopinga na wenyewe wanahusika sana kama haiwahusu why mkae na mpinge wacha tuwajue wabaya wetu hata kama dhaifu na yeye yupo tuone itakuwaje
 
CCM-MAMA
Kitendo cha Dr. Ulimboka kuomba arudishiwe simu haimaanishi ASP Msangi ni mhusika lazima tukumbuke Dr. Ulimboka alipata majeraha ya kichwa; inawezekana hiyo ni moja ya athari alizopata; wengi wenye kupata majeraha ya namna ile wanakuwa na matatizo ya kumbukumbu; tusubiri na tumuombee Mungu Dr. Ulimboka apone; atatuhabarisha zaidi; na yule Dr. aliendamana naye vipi? Mbona amekaa kimya yeye ni lazima awatambue waliomteka Dr. Ulimboka; bado najiuliza ilikuwaje watekaji wakamuacha yeye? Hivi ni kweli serikali iache ushahidi nyuma? Bado ni kitendawili.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Mkuu Kigwangalla, Kama hiyo alubadili nafanya kazi si umsmee dhaifu apukutike kwanza kabla ya hao wengine? Maana yeye ndiyo janga kuu la taifa kwa sasa. Lakini yeye pia ndo anawaulia chama chenu.
 
kaka imani yangu inasema ukimlilia MUNGU kwa dhati na yeye atagrant wish yako...na sisi tutalia kwa dhati na kumuomba awaadhibu waliomtesa ndg yetu na kwa imani niliyonayo kwa hakika dua itajibu...maana leo hii ukweli umejificha sana na hakuna dalili ya kuujua for sure, kilichobaki is just mere speculations tu, sasa kwa hii kitu ukweli utabaki wazi kabisa
Unajua wakati mwingine huwasoma nyie wasomi wangu nashindwa kabisa kuelewa.. Kifupi nyie ndio wenye seriikali yaani mnashindwa kufanya uchunguzi wa dhati, kuwasaka wauaji hawa na mwisho wake mnaamini kusoma Albadir kama kwamba Nyie ndio waathirika?.

Navyoamini mimi dini zote zinafundisha kwamba - Utamshitakia Mungu kwa jambo ambalo limekutokea wewe ukiwa huna hatia(innocent)na sii kumsomea mtu mwingine maana ni wewe unayejua kuwa sii mkosa, na hata hivyo bado huwezi kuwa na uhakika wowote ktk majibu ya Mwenyezi Mungu maana anatupenda sote. You could be a reason for something to happen yaani lazima itokee hivyo ili jambo jingine lifuate. Haya ndio makarama ya Mwenyezi Mungu.

Hivyo, Please acheni kumdhihaki Dr.Ulimboka na hizi Albadru zenu, fanyeni kazi ya kuwasaka washenzi walotaka kufanya mauaji haya (assault with intent to kill) na wafikishwe mbele ya sheria laa sivyo mjue itafika watu wataanza kuwawinda askari wetu mitaani kulipiza kisasi..
 
no one knows tommorow, jamaa angejua angekuja kua naibu waziri adingeandika huu utum.bo, mimi ni ccm lakini huu ni ujinga.
 
kaka imani yangu inasema ukimlilia MUNGU kwa dhati na yeye atagrant wish yako...na sisi tutalia kwa dhati na kumuomba awaadhibu waliomtesa ndg yetu na kwa imani niliyonayo kwa hakika dua itajibu...maana leo hii ukweli umejificha sana na hakuna dalili ya kuujua for sure, kilichobaki is just mere speculations tu, sasa kwa hii kitu ukweli utabaki wazi kabisa
mh kiongozi uko tayari tushirikiane ? mimi niko tayari kugharamia kiroba cha ubani .
 
no one knows tommorow, jamaa angejua angekuja kua naibu waziri adingeandika huu utum.bo, mimi ni ccm lakini huu ni ujinga.
hata angejua , hapa ameandika kile ambacho anakiamini kwa dini yake , naamini hata leo bado anao msimamo huu , naibu waziri si mjumbe wa baraza la mawaziri , habanwi na kulinda kila upuuzi wa serikali .
 
Back
Top Bottom