Kingunge ngombari mwiru ni kamanda mkuu wa umoja wa vijana wa ccm

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,490
54,884
hivi ccm vijana wao ni miaka kuanzia mingapi hadi mingapi?au hawana vijana wanao waamini?ccm habari yenyu bana...!!??
 
hivi ccm vijana wao ni miaka kuanzia mingapi hadi mingapi?au hawana vijana wanao waamini?ccm habari yenyu bana...!!??
Ahsante mkuu kwa kunisaidia kuuliza maana nilisha wahi kujiuliza mara kibao hadi nikapoteza uzito wa swali husika.Nakingine hivi unapaswa uwe na sifa zipi hadi uwe miongoni mwao?mbona mihoja yao yote sioni kama inamaslai kwa taifa zaidi kutumika kama mi speaker ya mafisadi,Hivi nikweli tunaota na kuamini kiongozi wakulitoa taifa lilipo atatoka kwenye kundi la hawa manyang'au?kama ndivyo najìhisi kupoteza matumaini ya kuishi.Kama kweli tunataka kukiona tunacho kitamani kitokee Tanzania CHADEMA ndilo 2maini pekee la watanzania kama wazalendo wakweli tunapaswa kuwatia moyo viongozi wakuu ,kushiriki vikao ,kuchangia michango kwa moyo na kwa kadili tuwezavyo. Kwahali ilivyo huku kitaa hata wale tulio amini wamenyweshwa maji ya bendera sasa wana yatapika.Vijana na wanaharakati wa ukweli 2cmame imara kuikomboa inj yetu na 2ctegemee hawa mapu**mb**fu kua watalikomboa taifa.
 
Kingunge ni kamanda msimamizi wa maslahi ya mafisadi ndani ya u-vccm,hivyo yuko pale kwa maslahi binafsi.yake na ya wale wanaomhifadhia faili la ubungo terminal........
 
Kila kijiji lazima kiwe na mzee wa kusimamia muenendo wa vijana na kuhakikisha wanaenda sawa na miiko ya kijiji

Tatizo ni mzee mwenyewe aliechaguliwa...........ndo maana umekuwa ni Umoja wa
Vishambenga CCM
 
Back
Top Bottom