kingunge ngombale mwiru azomewa kiwangwa

dedam

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
845
165
Mwanasiasa mkongwe tanzania kingunge ngombale mwiru amepata aibu ya mwaka baada ya kuambulia zomea zomea alipokuja kiwangwa kuja kumnadi mgombea udiwani wa ccm kata ya kiwangwa. Mzee huyu aliyekula chumvi nyingi alishindwa kuhutubia na kuamua kuondoka bila kuongea chochote. Tafadhali magamba waacheni wazee hawa wapumzike
 
wakati huo huo katika hali isiyo ya kawaida makada wa ccm wanazunguka katika viunga vya kata ya kiwangwa wakigawa njuluku kama njugu lakina makamanda wa cdm wakiongozwa na gwakisa pamoja na ismail wapo macho kuwafuatilia kila hatua wanaopiga magamba na kuwafukuza. aluta continua.
 
Back
Top Bottom