Tai Ngwilizi
JF-Expert Member
- Apr 20, 2010
- 781
- 210
yeye ndio alikuwa mshauri wao woote Mkapa, Mwinyi, Kikwete...haya maneno ilikuwa awaeleze wao na ayaseme hadharani akiwa bado ndani jungu, sasa hizi ni dua za kifaranga...
NDO MAMBO YA CCM HAYO, kilicho na mwanzo hakikosi kuwa na mwisho,kama ccm haktojipanga vzri basi maandiko yatatimia(changes is possible 2015)yeye ndio alikuwa mshauri wao woote Mkapa, Mwinyi, Kikwete...haya maneno ilikuwa awaeleze wao na ayaseme hadharani akiwa bado ndani jungu, sasa hizi ni dua za kifaranga...
huyu mzee njaa inamsumbua asepe mbele hivi bado hajafa tu hao vijana atawapa mtaji alikuwa wapi kuwasidia vijana yeye na butiku wote wivu unawasumbua butiku alipeta wakati wa mwalimu sasa awaache wengine wapetekatika hotuba za kigoda cha mwalimu nyerere, mzee kingunge ngombale mwiru amesema ni aibu kwa serikali kuleta wawekezaji kwenye kilimo wakati wapo vijana watanzania walio maliza chuo kikuu wanazurura mtaani bila ajira. Hao wawekezaji wanachuma hapa wanapeleka nchini kwao.
Akasema ni kama kwenda kuleta maji mbali wakati yapo hapa hapa.
Pia amesema kuna viongozi wa chama na serikali wanamiliki ardhi kubwa wakati wapo wananchi wengi hawana ardhi.
Jamani mnashangaa kitu gani?
Tanzania kati ya watu kumi wanane ni wanafiki, sasa huyu mzee Kingunge sii pekee ni kati yetu. Hapa tuloandika kuna wanafiki vile vile sema hatujijui kama ni wanafiki kwa sababu Unafiki bila kupima madhara ni sifa kwa Mtanzania!
katika hotuba za kigoda cha Mwalimu Nyerere, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru amesema ni aibu kwa serikali kuleta wawekezaji kwenye kilimo wakati wapo vijana watanzania walio maliza chuo kikuu wanazurura mtaani bila ajira. Hao wawekezaji wanachuma hapa wanapeleka nchini kwao.
Akasema ni kama kwenda kuleta maji mbali wakati yapo hapa hapa.
Pia amesema kuna viongozi wa chama na serikali wanamiliki ardhi kubwa wakati wapo wananchi wengi hawana ardhi.
Sijaisoma yote, kwani mwandishi kaanza kwa kukosea, kinginge hakuwahi kuwa waziri wakati wa nyerere wala mwinyi,
From muasisi wa taifa to wakili wa mafisadi.
hana lolote anazeeka vibaya , ufisadi wake wa ubungo terminal mbona haufafanui ?
katika hotuba za kigoda cha Mwalimu Nyerere, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru amesema ni aibu kwa serikali kuleta wawekezaji kwenye kilimo wakati wapo vijana watanzania walio maliza chuo kikuu wanazurura mtaani bila ajira. Hao wawekezaji wanachuma hapa wanapeleka nchini kwao.
Akasema ni kama kwenda kuleta maji mbali wakati yapo hapa hapa.
Pia amesema kuna viongozi wa chama na serikali wanamiliki ardhi kubwa wakati wapo wananchi wengi hawana ardhi.
katika hotuba za kigoda cha Mwalimu Nyerere, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru amesema ni aibu kwa serikali kuleta wawekezaji kwenye kilimo wakati wapo vijana watanzania walio maliza chuo kikuu wanazurura mtaani bila ajira. Hao wawekezaji wanachuma hapa wanapeleka nchini kwao.
Akasema ni kama kwenda kuleta maji mbali wakati yapo hapa hapa.
Pia amesema kuna viongozi wa chama na serikali wanamiliki ardhi kubwa wakati wapo wananchi wengi hawana ardhi.
Wewe ndiye uliyekosea kimsingi.Mwandishi yuko sahihi kabisa!Kingunge ameshawahi kuwa waziri katika awamu zote za Nyerere na Mwinyi,kumbuka enzi zile alishawahi pia kuwa waziri asiye na wizara maalum.