Kingunge awafyatukia wanaotamka ufisadi

Soooon and very soooooooon we are going to see the king Alleluyaaaaah Alleluyaaaaaaaah this is the end of the road, things fall apart, what goes round comes.
 
List ya mafisadi na jinsi wanavyotafuna nchi iliwekwa hadharani tangu 2007 (Mwembeyanga), Kingunge alikuwa wapi? Uingereza nao wametuma ushahidi wa rushwa kwenye ununuzi wa rada, na sasa BAE systems wanarudisha change, Kingunge hajui ofisi ya PCCB?

Kama Kingunge anakataa hakuna ufisadi CCM, anaweza kutuambia kuwa CCM aliyoachiwa na Nyerere inafanana na CCM ya sasa?
 
Atueleze mradi wake aliokuwa anafisadi Ubungo stend ya mabasi, na maegesho ya magari mjini.
yeye anafikiri hatujui kashfa zake na mwanaye Kinje anavyofanya vurugu kwa kudai yeye yupo juu ya sheria?
Zeeka vizuri Kingunge
 
Kingunge ameusaliti ujamaa na kugeuka kuwa wakili wa mafisadi.
Tutampa frustration atulie nyumbani, muda wake umefika omega.
 
ukiona kibabu kinaropoka hivi ujue death is around the corner,hiki kibabu kilipoenda london tu eti kudhibiti habari,hali ya julius ilianza kuwa mbaya na hali yake kifedha ikaanza kuwa nzuri!
 
Ahaa!
Kumbe huyu mzee bado yu mzima?
Kweli Mungu wa ajabu!
Ameumba Oxygen ya kutosha viumbe wake wote!
 
Atueleze mradi wake aliokuwa anafisadi Ubungo stend ya mabasi, na maegesho ya magari mjini.
yeye anafikiri hatujui kashfa zake na mwanaye Kinje anavyofanya vurugu kwa kudai yeye yupo juu ya sheria?
Zeeka vizuri Kingunge

acha matusi wewe?
Azeeke vizuri?
AKUFE Vizuri,mana kama kuzeeka,kashazeeka had mwisho!
 
Mzee Kingunge amekuwa mzigo na anakichafua chama na kutuchefua wanachama.
Suala la ufisadi linapita uwezo wake wa kufikiri,kuuchambua na hata kuuchukulia hatua.
He is a spent force,akae kimya na kula pensheni yake tu.

He is a pitiful CCM FALLEN AND CONFUSED FIGHTERS
 
Mzee pumzika ooho!
Yatakukuta ya
mkapa!
Wewe mwenyewe
ulikuwa na bifu
ndogo na
nyerere.
 
His metamophorsis is quite catastrophic

Sometime ago was like this

4.JPG


Then it went to this

mh_ngombale%20mwiru.jpg


Afterwards

Kingunge-Ngombale-Mwiru.jpg


Later

Kingunge%20Ngombale%20Mwiru(1).jpg
 
Anazungumzia mchunguzaji yupi wa ufisadi, prosecutor yupi, mahakama ipi? Ni vizuri akikaa kimya, maana yeye aliwatetea sana mafisadi sasa mambo yamekuwa wazi anaona aibu. Sidhani kama ni kupakaziana.
 
Duu!! Haka kazee bado kapo hai!!!!!! Ngoja nichek na jamaa angu Israeli kama file lake lishafika!!!!!!
 
Tupate busara za wazee wetu, hili ni kemeo kwa wanasisa na viongozi wa kidini:


Mwanasiasa mkongwe nchini Kingunge Ngombale Mwiru amesema kuwa viongozi wa dini na wanasiasa wanaowaita wenzao mafisadi ni aina ya viongozi waliochoka na kufilisika.

Akizungumza katika mkutano maalum ulioandaliwa na CCM Wilaya ya Bagamoyo, Kingunge alisema kuwa viongozi hao wa dini na wanasiasa wanadhani kuwapo kwa mfumo wa vyama vingi na uhuru wa kutoa maoni ni kuruhusu watu kutokua na adabu kwa wenzao.

Alisema kuwa imekuwa ni tabia hivi sasa kwa baadhi ya viongozi wa dini na wanasiasa kutumia majukwaa yao kuwavunjia heshima viongozi waliopo madarakani.

“Hili ni jambo lisilowezekana hata kidogo kiongozi anachaguliwa na wananchi halafu kuna watu wanamvunjia adabu kiongozi huyo huku ni kuwatukana wananchi na hakukubaliki mahala popote,” alisema Kingunge.
Akuzungumzia suala la ufisadi Kingunge alisema kuwa neno ufisadi maana yake si kama inavyofikiriwa na watu wanaoneza neno hilo bali lina maana mbaya kuliko wanavyolisema baadhi ya watu wakilitumia kuwachafua wenzao.

“Tuache kupakaziana maneno mabaya kama ufisadi kwani neno hilo lina maana mbaya kuliko inavyodhaniwa na iwapo kuna mtu ana ushahidi na matendo ya ufisadi ya mtu ni bora ayatoe hadharani na kutoa ushahidi kuliko kuendelea kuchafuana,” alisema Kingunge

Akizungumzia masuala ya udini Kingunge alisema kuwa Watanzania wanapaswa kuacha kuendekeza udini kwani baadhi ya wanasiasa na viongozi wa dini ambao wamefilisika kimawazo wamekuwa wakitumia udini kutaka kuwagawa Watanzania

7th April 2012, NIPASHE : www.ippmedia.com
 
Kwanza hana meno lazima atakuwa anabwabwaja, pili kinjekitile kingunge ambaye ni mwanae amemshinda kimalezi, kama pamemshinda kwake anawezaje kuthubutu kunyoosha kidole kipande hii.
 
Duh kweli Mzee Kingunge kachoka kiakili.

Hebu mkumbusheni alivyotuibia pale Ubungo Bus Terminal!

Alitaka hata akiiba viongozi wa dini wamsifie?

Nyerere alikwisha sema ukingia tabia ya kula nyama ya watu huiachi tabia hiyo,Kingunge anakwenda mbali zaidi n kuta kuihalalisha.

Mzee Kingunge ushindwe,uchoke,uzeeke na ulegee!
 
Kweli huyu mzee kazeeka na ccm yake inawezekana anapaa na ungo yaani yote yale ya jk kusema watakao rudisha pesa za epa watasamehewa hakusikia au na macho yake hayaoni ,do nimeamamini ukiwa ccm ukizeeka lazima uwe mchawi kuloga watu ..
Alikuwa anawaambia akina nani kwa nini wasimpopoe mawe natamani kumlusinde hili zee
 
teh teh teh kweli sasa mzee umejichokea...........!
kwahiyo wanaofisadisha waitwe watukufu????
mh! hivi vichefchef vya ccm vimetosha jamani, tupumzisheni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom