KINGONI kitamu jamani

mbona kwenye ile thread ya 'mama kuishi na mtoto wake kinyumba kwa miaka 10' hamjajitokeza? kumbe mpo wengi hivi?lol
 
nendeni mkamsaidie yule mwenzenu anayemtafuna mama yake kabla laana hiyo haijasambaa kwa Wangoni wengine kina Mapunda, Matembo
 
nendeni mkamsaidie yule mwenzenu anayemtafuna mama yake kabla laana hiyo haijasambaa kwa Wangoni wengine kina Mapunda, Matembo

Laana haitafuni Kabila bana, mwache afe kwa wehu wake, upuuzi ule hauna kabila ndugu yangu ni wa mtu binafsi tuteme mate chini yasije ingia kwenye Koo zetu, asee baba angu kitu hii ikija kugusa kwetu sie akina Mangi ni laana itakayo sambaa kwenye Familia yote hadi likafanyike tambiko kwa vibabu
 
Sifa za wangoni, Ukabidhi chochote kupeleka lakini siyo mwanamke .................... Majina yao ya wanyama waliojipa ni kutokana na WOGA
 
Mzee kapteni wa mambo ya buriani uko wapi uje uwaamulie hawa vijana wanaobishana hapa?
 
nendeni mkamsaidie yule mwenzenu anayemtafuna mama yake kabla laana hiyo haijasambaa kwa Wangoni wengine kina Mapunda, Matembo
usipo pigwa ban nitaanza kuamini JF haitendi haki wakati flani.miezi kadhaa iliyopita nilipigwa ban ya miezi mitatu kwa kuhusisha kabila moja maarufu na kale kamchezo kabaya kwa watoto wa kiume.wee kwali wamwene.:redface:
 
Ne mbwitu! Niamba he,nifuna kutama ngolongondi kumgati...namwene.Maganga yawi lepa. Namyangu wikita kyani ?
Nirekebishe na kutoa tafsiri. Nihamba he (nihamba lepi) =siendi. nifuna kutama ngolongondi =nataka kukaa kimya (nikiwa nafikiri); mgati au kugati na siyo kumgati. =ndani. maganga gavi lepa = hakuna pesa (lit. hakuna mawe);
 
Back
Top Bottom