Google wameintroduce Google drive. 5GB za bure kuhifadhi mafaili yako mtandaoni. Hii itakurahisishia kuhifadhi, kubackup na kushea mafaili yako mtandaoni. Hii ni huduma mbadala ya dropbox. Kwa maelezo zaidi pitia Redirecting...
yote tisa, kumi dropbox wapo fiti bana....huduma yao imetulia....no complications nyiiiiiingiii.....
kaka check MSN wanatoa 25gb...
mkuu jaribu ku invite more people we mshawishi mtu akubali tu invation hata kama hatatumia baadae inakuongezea space...si unajua tena kila kizuri kina gharama zake...dropbox mwenyewe nawakubali tatizo kianzio chake ni kidogo mmo 2 GB, hadi sasa nimefikia 3.75 GB imejaa na mafile yangu mengine bado
do mwanangu hii kali....lah!!Any1 ever tried searching "Google Gravity" on google n saw what happened(on PC only though)
do mwanangu hii kali....lah!!