Kingereza kianze kutumika bungeni ili tuondokane na wabunge wa ccm

andrews

JF-Expert Member
Mar 28, 2012
1,679
152
ILI KUONDOKANA NA WABUNGE WENGI WA CCM KUTOKUJUA WANAPIGA MAKOFI OVYO BUNGE LIANZISHE HOJA KWA ENGLISH KWA MUDA WA MASAA MAWILI KWA SIKU ILI TUPATE WENYEVITI NA WATOA HOJA WATAKAOJIELEZA VIZURI KWA LUGHA HII NA KUEPUSHA VURUGU ZINAZOTOKANA NA WABUNGE WENGI WA CCM NA CUF KUTOCHANGIA CHOCHOTE ZAIDI YA KUZOMEA NA KUPIGA MAKOFI TU HAPA TUTAONA UMAHILI WA WABUNGE AMBAO WATAJADILI MAMBO KWA HOJA NA KUONDOA UKADA.NAOMBA KUTOA HOJA:israel:
 
Kwenye mtandao wa Bunge kuna maelezo haya kwa Kiingereza:

Hon. Janeth Mbene, who was recently appointed Member of Parliament by President Jakaya Kikwete and subsequently as the deputy Minister for Finance, was among the four new Mps who takes aorth…

Nini sasa hiki? Huu ni mfano mdogo tu.Uozo huu wa kung'ang'ania lugha za watu upo mwingi tu kwenye sehemu nyeti kama Bunge,Wizara,na Mahakama.Si tutumie tu Kiswahili chetu jamani? Sisi nao...​

haahaha....! BUNGE LITATULIA KAMA KWA KANISA..!

.....mr speaker, i am a woman.....! (kutoka kampeni za bunge la EA)
 
Ni kweli itasaidia. Tusijifanye kiswahili ni lugha yetu wkt miswaada yote iko kiingereza. tuache unafiki, wawekewe kiingereza ili tuwatoe kina Lusinde bila kugombana nao. Nachukia watu wasio na vigezo eti tuwasalute kisa wamebebwa na vyama vyao.
 
watakaondoka wakiwa wa kwanzani LUSINDE,KOMBA,STELLA MANYANYA,MAJI MAFUPI MARTHA MLATA NA WAPUUZI WENGI WA VITI MAALUM
 
Ni mwanzo wa kupata wachangiaji wachache ila itakuwa ni kuwanyima wengine haki coz hata hao wanaosikiliza nao wataingia kwenye kundi hilo hilo
 
watakaondoka wakiwa wa kwanzani LUSINDE,KOMBA,STELLA MANYANYA,MAJI MAFUPI MARTHA MLATA NA WAPUUZI WENGI WA VITI MAALUM

Na yule kilaza wa Iramba! coz "empty vessels make the most noise!"
 
.. EE AKCHWALE.. MHE. SPIKA EE ..EKCHWALE IN TANZANIA.. EE OK.
NINGEPENDA...
mbona itakuwa aibu ya mwaka!!
* Kenya wataifanya ze comedy
 
Nakubaliana nawe kabisa mkuu. Wabunge wengi wa CCM ni vilaza ndo maana hawajui hata vitu vilivyomo kwenye mikataba. Ili kujiepusha na aibu wao hutumia gia ya kuwatukana wapinzani kwa kuwa CCM hawana hoja. Naomba Kiingereza kianze mara moja ili kuondoa vimeo wa Chama Twawala.
ILI KUONDOKANA NA WABUNGE WENGI WA CCM KUTOKUJUA WANAPIGA MAKOFI OVYO BUNGE LIANZISHE HOJA KWA ENGLISH KWA MUDA WA MASAA MAWILI KWA SIKU ILI TUPATE WENYEVITI NA WATOA HOJA WATAKAOJIELEZA VIZURI KWA LUGHA HII NA KUEPUSHA VURUGU ZINAZOTOKANA NA WABUNGE WENGI WA CCM NA CUF KUTOCHANGIA CHOCHOTE ZAIDI YA KUZOMEA NA KUPIGA MAKOFI TU HAPA TUTAONA UMAHILI WA WABUNGE AMBAO WATAJADILI MAMBO KWA HOJA NA KUONDOA UKADA.NAOMBA KUTOA HOJA:israel:
 
Acheni kuutukuza Uzungu na kuukataa Utaifa! Nani kasema wanaojua kingereza ndo wenye uwezo wa kutoa hoja? Kiingereza ni lugha km Kimasai, Kichagga, Makonde, Makua, wala hakina uhusiano na kutoa hoja zenye kujenga. Wacha wajunafasi na Kiswahili ila tu waongee hoja za maana na siyo kujali maslahi binafsi na pumba za vyama vyao.
 
Sasa huoni kama utamtesa kiongozi wa kambi ya upinzani Mbowe, pamoja na wenzake Sugu, yule mbunge wa Maswa wa darasa la saba, Mnyika.
 
Back
Top Bottom