King'amuzi cha zuku

zuku tv unapata citizen .ubc .itv na tbc zilikua zinapatikana ila zimekata toka majuzi zitaludi zuku tv ni zaidi ya startime na ting wao ni wakali wanatumia mpeg4 risiva

kama ni mpeg4 receiver tu, TING ni kiboko kwani yenyewe ni mpeg4 pia na zaidi unaweza kui2mia kunasa satelaiti yoyote inayopatikana katika eneo lako,kurekodi vipindi kupitia usb,kuplay back video ulivyohifadhi kwenye hdd, smartcard port,ukiweka modem inakuwa conected ukipigiwa cmu kwa chip iliopo kwenye modem.aidha inaweza kurekodi programes wakati haupo nyumbani ili mradi 2 umeiset. zuku haiwezekani,dekoda zao kama dstv.ieleweke kwamba mm cna hisa na ting na chanels zao czipendi na cjawah kulipia hata mwezi m1 tangu nimenunua decoda yao(AAL-003)mwezi july 2011 ila nai2ma kama fta receiver na naifurahia kweli.inafanana sn na strong srt 4669x tofauti ni kwamba ...9x unaweza kuingiza biss keys kufungua scrambled channels.werevu mmenisoma, kazi kwenu.ukickia review hii imejitosheleza.binafsi it was a gamble to go 4 it lakini ss naona kuwa the best buy 4 an mpeg4 decoder.
 
Mkuu mimi ninayo SRT 4663X,...JE hii pia unaweza kuingiza biss keys? And HOW. Niongoze jinsi ya kuingiza biss keys to a Receiver zaidi ya hii ..,63X
 
Star timez nimesearch nikapata itv na star tv. Zimeendelea kupatikana hata baada ya hela kuisha. Zuku nimefunga jana, local naona tbc pekee. Itv inaeleza kuwa ina matatizo. Naona citizen, ntv, kbc, ktn za kenya, na ubc ya uganda. Muvies na makatuni kibao
 
umepata kwa frequency gani itv na tbc?
 
Jamani najivua magamba StarTimes,nahamia ZUKU .nimependa kifurushi cha ZUKU PREMIUM cha Tsh 40,000 ingawaje naona ZUKU kama wanatukomoa kwa bei yao kuwa kubwa kuliko Kenya na Uganda.Nimeangalia mtandao wao ukilipa 92,000 unapata ZUKU TV kit na Installation,nauliza TV kit ina vitu gani,je ni king'amuzi,dish au anntena
hivi huko mikoani hamna providers kama 'Milan Cable' ukiacha Arusha? kwasababu mimi natumia Milan Cable na napata channel zaidi ya >140 zikiwemo channel za kutosha za mpira, movie, miziki, habari, education etc kwa malipo ya 15,000/= kwa mwezi,,hamna sababu ya kutumia hivyo vingamuzi vinavyobabaisha, nawashauri kama kuna cable provider wa milan kwenye mkoa wako huyo ndio suluhisho, wanaprovide Cable television, Internet service provider, media advertisements, optical fiber installations.,,,:yo::yo:
 
Eti jaman naskia matangazo kwenye Radio kuhusu king'amuzi cha ZUKU wanadai eti ni kizuri halafu kina channel kama 70 hv,
kwa aliyek2mia naomba atueleze ubora wa hiki king'amuzi na jins gani kinafanya kaz JE na hicho 2nalipia kama startime? Kama kitakuwa kizuri niko mlangon kuachana na huyu mchina wa start time.!

NATANGULIZA SHUKRAN
70 ni uongo kuna chanel 131
 
Mi kesho naenda KUZUKU hiki cha StarTimes nakitoa natoa msaada kwenye sekondari ya kata iliyopo kwenye kata yangu,naenda kuwekea weding na kufuli ili kisibebwe kupelekwa nyumbani kwa headmaster
Ha

Habari zenu wadau
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom